09/05/2025
Prophecy, bwana Yesu asifiwe sana usikose kabisa kwa hii ibada kubwa sana Sunday hii inayofika ya tarehe 11 kuanzia saa 8:00am na kuendelea hapa ndani ya kanisa. Itakuwa ni ibada kubwa sana ibada ya annointing miracle service. Ibada ya kukanyaga mafuta matakatifu ya upako ili uweze kufunguliwa kwa maisha yako na kwa mambo yako yote. Ufungulie kwa mambo ya pesa, nyota yako, na breakthrough ya kila kitu unahitaji kwa maisha yako na kwa mambo yako kutoka kwa Mungu. Mimi mtumishi wa Mungu Nabii Apostle Kigo nimekukaribisha kabisa hii Sunday. Usikose kabisa. Be my guest this Sunday.Amen! Amen!