07/09/2026
Wikendi yako ilikuwaje Msikilizaji?
Hujambo na Karibu Tuianze Wiki na Baraka zake Mwenyezi Mungu ndani ya na Dada Esther Mwikali
Waamuzi 18:7....Walikuwa watu watulivu wasio na wasiwasi na hawakupungukiwa mahitaji yoyote nchini. Walikuwa mbali na watu wa Sidoni, na hawakuwa na shughuli yoyote na watu wengine.
Umefungulia wiki yako wapi msikilizaji? Tujuze
SIMU/WHATSAPP: 07 22 174 200 See less See less See less See less See less