MTC

MTC AIC Mwanza Town choir ni kwaya yenye makaxi yake Mwanza Tanzania katika kaniss kuu la AICT Makongoro

Wakiwa ktka moja ya ibada kanisani Makongoro
18/03/2019

Wakiwa ktka moja ya ibada kanisani Makongoro

Picha hii tuliipiga na Mch Bugota huko Igombe siku mbili baada ya kuchaguluwa kuwa Askofu.
04/03/2019

Picha hii tuliipiga na Mch Bugota huko Igombe siku mbili baada ya kuchaguluwa kuwa Askofu.

AIC Mwanza Town Choir picha ya pamoja na mdau wa siku nyingi  Daniel Njuguna walipoalikwa na kanisa moja hapo Kariakoo N...
02/03/2019

AIC Mwanza Town Choir picha ya pamoja na mdau wa siku nyingi Daniel Njuguna walipoalikwa na kanisa moja hapo Kariakoo Nbi 2014

Hapa MTC na wageni wetu kutoka Bomet Kenya
18/02/2019

Hapa MTC na wageni wetu kutoka Bomet Kenya

Kauli mbiu yetu ni mafanikio yako katika muda
06/02/2019

Kauli mbiu yetu ni mafanikio yako katika muda

AIC Mwanza Town katika picha ya pamoja baada ya huduma Makongoro Mwanza 2018
17/12/2018

AIC Mwanza Town katika picha ya pamoja baada ya huduma Makongoro Mwanza 2018

Hapa ilikuwa mwaka 1988 Mwanza town choir wakiimba Kabarak kwa Rais Mstaafu wa Kenya Mtukufu Daniel Moi
14/12/2018

Hapa ilikuwa mwaka 1988 Mwanza town choir wakiimba Kabarak kwa Rais Mstaafu wa Kenya Mtukufu Daniel Moi

Kuanzia mwaka kesho 2019 matoleo yetu yote yataanza kupatikana utaweza kuagiza moja kwa moja toka kwa MTC wenyewe. Ambay...
10/12/2018

Kuanzia mwaka kesho 2019 matoleo yetu yote yataanza kupatikana utaweza kuagiza moja kwa moja toka kwa MTC wenyewe. Ambayo ni NJONI TUMWIMBIE, UTAVUNA NA MUNGU KWETU KIMBILIO haya ni ya video. Na mengine mengi ya audio ya zamni na mapya

Mwanza Town Choir safarini Nyahururu Kenya wakati wa pasaka April 2018
10/12/2018

Mwanza Town Choir safarini Nyahururu Kenya wakati wa pasaka April 2018

Address

Makongoro
Nairobi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255685871009

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to MTC:

Share