The Screen of the Blessed Virgin Mary

The Screen of the Blessed Virgin Mary This grobal screen is significant in exposing the truth about our holy mother of God.

Follow the beatification of Maria Carola Cecchin here.
05/11/2022

Follow the beatification of Maria Carola Cecchin here.

Beatification Ceremony of Sr. Maria Carola Cecchin Bishop Selesius Mugambi of Meru Diocese (Kenya) and Mother General of Cottolengo Sisters, Elda Pezzuto inv...

19/03/2022

Beno Mkatoliki ft Nice Sergius - Reign in me Jesus

29/11/2021

NAKUPENDA YESU MWOKOZI

01/09/2021
25/08/2021
09/08/2021
Kuhusu tokeo la Bikira Maria huko Fatima, kuna utata gani?
11/05/2021

Kuhusu tokeo la Bikira Maria huko Fatima, kuna utata gani?

Maria alishiriki maisha ya mwanae (Marko 3:31-35) bila kuhitaji mamlaka maalum hadi mwisho, yaani hadi msalabani hakumwacha mwanae Yesu. Basi Maria ni sehemu...

29/04/2021

AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE

1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!

2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa k**a Kobra!

4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!

5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!

6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!

7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!

8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!

9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!

10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!

11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!

13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.

14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua k**a amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.

WE UKO KUNDI GANI AU MKEO YUKOJE??

29/04/2021
18/04/2021

Kuna Raha yake katika kumtumikia Mungu

Address

P O BOX 23211 Karen
Nairobi
001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Screen of the Blessed Virgin Mary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Screen of the Blessed Virgin Mary:

Share