Lukume PEFA church

Lukume PEFA church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lukume PEFA church, Religious organisation, mfangano street, Nairobi.

16/03/2026

As the week starts, May bless to a level that you will forget all your previous pain, Those who disrespected you and rejected you will automatically look for you the way Joseph's brothers looked for him.

be blessed

Psalms 24:3-4[3]Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?[4]Mtu aliye na...
17/02/2026

Psalms 24:3-4
[3]
Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
[4]
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila.

Mungu atuoshe mioyo na mikono yetu Ili tuweze kupanda mlima wake katika jina la Yesu.

Those who cry๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ while praying , because the pain is too much to handle may the Lord heal whatever Pain you have today i...
31/08/2025

Those who cry๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ while praying , because the pain is too much to handle may the Lord heal whatever Pain you have today in Jesus mighty name.

Kuna wengi huamka asubuhi wakienda kutafuta mwishowe hawarudi Kwa sababu ya kufa barabarani kutokana na ajali.Leo nakuom...
10/08/2025

Kuna wengi huamka asubuhi wakienda kutafuta mwishowe hawarudi Kwa sababu ya kufa barabarani kutokana na ajali.

Leo nakuombea na kukutangazia kwamba Mungu akulinde utokapo, unaposafiri. Urejehe nyumbani ukiwa mzima katika jina la Yesu kristo.

Nanyamazisha roho za ajali, nakuja kinyume roho za illuminati za kudai damu ya wanadamu.

May you all find peace whenever you travel in Jesus mighty name.

Happy Sunday brethrens.

Lukume PEFA church

In Jesus mighty name ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐ŸผLukume PEFA church
04/08/2025

In Jesus mighty name ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ

Lukume PEFA church

Luke 18:27But he said, โ€œWhat is impossible with man is possible with God.โ€Believe in God, all things are possible.
27/05/2025

Luke 18:27

But he said, โ€œWhat is impossible with man is possible with God.โ€

Believe in God, all things are possible.

Don't give up, just go deep in prayers as you keep waiting for God's time which is always the best and right time.Never ...
13/05/2025

Don't give up, just go deep in prayers as you keep waiting for God's time which is always the best and right time.

Never give up, usikate tamaa Kwa vyovyote vile.

Receive your miracle in Jesus mighty name.
20/04/2025

Receive your miracle in Jesus mighty name.

May God give you an additional thing that will shock your enemies in Jesus mighty name.
18/01/2025

May God give you an additional thing that will shock your enemies in Jesus mighty name.

Mwanaume mmoja tajiri alienda kanisani akapiga magoti na kuanza kuomba akisema,,Ee Mungu hata lini nitateseka katika mag...
11/01/2025

Mwanaume mmoja tajiri alienda kanisani akapiga magoti na kuanza kuomba akisema,,Ee Mungu hata lini nitateseka katika magonjwa,nimekuwa mtu wa kuumwa kila siku, mwili wangu umekuwa makao ya kila Aina ya ugonjwa ukitoka ugonjwa huu unaingia ugonjwa mwingine Ee Mungu naomba uniponye

Wakati tajiri yule akiwa amepiga magoti anaomba pembeni yake kulikuwa na mwanaume mwingine maskini naye alikuwa akiomba tena kwa sauti kubwa ikiambatana na machozi

Maskini Aliomba Akisema,,Ee Mungu hata lini nitaendelea kuishi maisha haya ya Kimaskini angalia deni la kodi ya nyumba limekuwa kubwa sana Na mwenye nyumba amenipa siku chache na zikipita atanifukuza , Naomba Mungu usiache niaibike

Wakati maskini anaomba kwa sauti kubwa sana, Tajiri aliona maskini anampigia Kelele hivyo akamgusa na kumuuliza kwani Unadaiwa kodi ya Nyumba Tshs ngapi?... Mwanaume maskini akasema ni Tshs 100000{Laki moja} tajiri akamwambia nitakupatia 1000000{Milioni 1} Maskini alifurahi sana Na kuanza kumtunza Mungu

Nami nakutamkia kwamba Mungu atatumia watu ambao hukuwadhania kukupatia msaada na kukufikisha kwenye Hatima yako na ndivyo itakavyokuwa katika Jina la Yesu Kristo

Andika Amen iwe ya kwako huu mwaka wa 2025
๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ๐ŸงŽ๐Ÿผ

Address

Mfangano Street
Nairobi
00200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lukume PEFA church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share