30/03/2018
Snp Lydia Kitheka, Nyumba ya Ufufuo na Uzima - Ruiru anakukaribisha
kwa mkutano mkubwa wa Injili utakaojaa ishara na maajabu ya Yesu Kristo.
Mkutano itakuwa RUIRU-WATAALAM (MULIKA MWIZI STAGE)
kutoka Tarehe Fri 6/4/2018 na Sun 22/4/2018,
Kila Siku Saa 5 pm Mpaka 8 pm. Snp Samson Gwajima, Mwanza - Tanzania atahudumu. Wafu watafufuliwa, wagonjwa wataponywa
na wenye matatizo mbali mbali watasaidiwa. Lete watu wote wanao matatizo
za kila aina. Kwa Maelezo Yeyote Ama Kuulizia Piga simu +254727705663, +254715886720,
+254703102924. Njoo bila kukosa..