20/03/2017
kila jabo uja na maana yake na kila mtu ana sababu yake kuishi nafurahi wakati ninapigwa na kudhalauriwa maana najikasa kujitoa apo na jua jeremiah 30 :16 inaogea juu ya kushuswa kwao na kutekwa nyara kwao na mungu kunipa baraka zangu so keep ua faith in GOD usihukumu wezako maana kila mtu anasababu yake maishani mwako na mungu atakubariki