Mt.Zion Church

Mt.Zion Church Gods intervention into His Healing pool Sayuni

08/07/2025

May God rise you above your enemies expectations

28/10/2024

Nehemia 4:1-5 (KJV) Lakini ikawa, Sanbalati aliposikia ya kwamba tulikuwa tukiujenga ukuta, akaghadhibika, akaingiwa na uchungu sana, akawadhihaki Wayahudi.
Akanena mbele ya nduguze na mbele ya jeshi la Samaria, akisema, Wayahudi hawa wanyonge wanafanyaje? Je! Watajifanyizia boma? Watatoa dhabihu? Au watamaliza katika siku moja? Je! Watayafufua mawe katika chungu hizi za kifusi, nayo yameteketezwa kwa moto?
Basi Tobia, Mwamoni, alikuwa karibu naye, akasema, Hata hiki wanachokijenga, angepanda mbweha, angeubomoa ukuta wao wa mawe.
Sikia, Ee Mungu wetu; maana tunadharauliwa; ukawarudishie mashutumu yao juu ya vichwa vyao, ukawatoe watekwe katika nchi ya uhamisho;
wala usiusitiri uovu wao, wala isifutwe dhambi yao, mbele zako; kwa maana wamekukasirisha mbele ya hao wanaojenga.

Yeyote anaezuia mafanikio yako Mungu awahukumie ghadhabu,

28/10/2024

Yesu akisimama upande wako hakuna lolote,yeyote wala chochote kitakachopinga maslahi ya kuinuka kwako.Mungu akuinue kinyume cha matarajio ya mwanadamu,ung'ae penye Giza,uwe NURU ya wengi,akuzidishie na kukupanda katika kibali

⚠️ SCAM WARNING ⚠️Be on high alert—there are new scammers in town pretending to be online merchandisers. They claim to o...
23/09/2024

⚠️ SCAM WARNING ⚠️

Be on high alert—there are new scammers in town pretending to be online merchandisers. They claim to offer job opportunities, but their real aim is to trick you into sending money, promising commissions in return. Once you send the money, they disappear.

These scammers are using foreign numbers and unsecured platforms like Facebook and Telegram to carry out their fraud. Below are screenshots showing how they lure people into their traps.

Stay vigilant, verify all offers, and never send money to unverified sources. Protect yourself from falling victim to these scams!

22/09/2024

Hi everyone, greetings in Jesus name

23/06/2024

The only Gift that Human can get from God and no one else can offer at any cost,is love❣️for He loved the world and gave His on Son to save the world,

Are you saved🙏❣️❣️
Sometimes we think salvation comes ones twice or even the third one but for sure salvation was meant for all times,for no one is Holly before God, accepting that Jesus is the son of God once in life time will change everything in Mans life .And He said Go preach the Gospel for whoever who listens and accept Jesus will have eternal life,mark 16:16 defines what happens next after believing.it only requires you to believe so a you won't be condemned, Him today
Don't skip without typing

Kindly assistance needed dear Friends
26/11/2023

Kindly assistance needed dear
Friends

27/10/2023

Hi sons and daughters of Zion ..have a blessed day ahead

02/08/2023

“Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko.”
— Mwanzo 46:3
Acha kuogopa nchi kwa sababu ya mapito yake ...hapo penye adui Mungu ameapa kukufanya Taifa..na si Taifa tu Bali TAIFA KUBWA
Maombi yangu ni ufanyike Taifa la makusudio ya Mungu ili wamuogope Mungu unayemwabudu....🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Be blessed

This Saturday usipitwe ... welcome all to JEHOVA ISHI HEALING MINISTRY AT DANDORA MOWLEM OPP KINYAGO SEC SCHOOL ....COME...
13/07/2023

This Saturday usipitwe ... welcome all to JEHOVA ISHI HEALING MINISTRY
AT DANDORA MOWLEM OPP KINYAGO SEC SCHOOL ....COME WE CELEBRATE TOGETHER 🙏🙏🙏🙏🙏

Address

Riverbank Tassia
Nairobi
N/A

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mt.Zion Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mt.Zion Church:

Share

Category