Evangelist Ezekiel Odero

Evangelist Ezekiel Odero Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Evangelist Ezekiel Odero, Evangelical church, 00200, Nairobi.

Wanaokuombea mabaya na kutumia uchawi dhidi yako, wataanguka na kushindwa leo, kwa Jina la Yesu! Sema Amina kwa imani!
14/09/2024

Wanaokuombea mabaya na kutumia uchawi dhidi yako, wataanguka na kushindwa leo, kwa Jina la Yesu! Sema Amina kwa imani!

Ikiwa kwa bahati nzuri ujumbe huu uko mbele yako, chukua sekunde tano na uandike, 'Mungu wangu, sikia kilio changu.
12/09/2024

Ikiwa kwa bahati nzuri ujumbe huu uko mbele yako, chukua sekunde tano na uandike, 'Mungu wangu, sikia kilio changu.

Yesu, nisamehe dhambi zangu, uniinue kutoka mavumbini hadi niketi na wafalme. Uondoe maadui wanaonifuata na uchawi wao, ...
12/09/2024

Yesu, nisamehe dhambi zangu, uniinue kutoka mavumbini hadi niketi na wafalme. Uondoe maadui wanaonifuata na uchawi wao, na uniandike kwenye kitabu cha uzima wa milele. Amina. πŸ™

Put this words in bold big enough to be read"Mungu akutimizie tamanio la moyo wako. Akulinde, akufanyie wema na akufungu...
12/09/2024

Put this words in bold big enough to be read"Mungu akutimizie tamanio la moyo wako. Akulinde, akufanyie wema na akufungulie milango ya baraka kutoka mbinguni. Shalom, mwanangu, baraka zako hazitakupita. Mungu huyu ni mwaminifu, na hakika atatenda yaliyo mema kwako. πŸ™

Iwapo unalo tatizo lolote, tafadhali nitumie ujumbe, nitakupigia simu ili tuombe pamoja sasa."

Your mum will be very proud of you soon as things will smile in Jesus name πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
12/09/2024

Your mum will be very proud of you soon as things will smile in Jesus name πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

K**A UNAAMINI YESU NI NGAO YETU NA NI MWAMBA IMARA SEMA AMEN πŸ™
11/09/2024

K**A UNAAMINI YESU NI NGAO YETU NA NI MWAMBA IMARA SEMA AMEN πŸ™

NATANGAZA ulimwengu usikie ushuhuda wangu jinsi Mungu alivyo mwaminifu. Ikiwa na wewe amekutendea, sema 'AHSANTE' kwa ua...
11/09/2024

NATANGAZA ulimwengu usikie ushuhuda wangu jinsi Mungu alivyo mwaminifu. Ikiwa na wewe amekutendea, sema 'AHSANTE' kwa uaminifu wake.

26/07/2023

FROM Today hutawahi kukosa pesa na chakula kwa BOMA yako in Jesus Mighty Name. Amen

25/07/2023

Repeat After Me: I will never be ashamed of my faith, nor my relationship with God. May God bless those who insert Amen

Leo napeana Nyota kwa wanangu .pokea Nyota yako ya*biashara*kazi*ndoa*masomo*afya*Amani*Pesa*Bahati Receive in Jesus Nam...
25/07/2023

Leo napeana Nyota kwa wanangu .pokea Nyota yako ya
*biashara
*kazi
*ndoa
*masomo
*afya
*Amani
*Pesa
*Bahati
Receive in Jesus Name kwa kunitumia message nikuombee mwanangu

25/07/2023

Wanao kuombea mabaya na kufanya uchawi juu yako washindwe Leo in Jesus Name SAY Amen!

24/07/2023

YESU nisamehe dhambi zangu, niandike kwenye kitabu cha uzima na uinue maisha Yangu. AMEN

Address

00200
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evangelist Ezekiel Odero posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share