01/06/2026
SIRI ZA KUJIBIWA MAOMBI - REV. LUKAS.
Je, umekuwa ukiomba kwa muda mrefu bila kuona matokeo? Je, unatamani kujua siri za Kibiblia zinazofanya maombi yako yajibiwe haraka na kwa uhakika?
Kujibiwa maombi si bahati nasibu; kuna funguo maalum ambazo Mungu ameweka katika neno lake ili kila mwamini anapoomba, apokee.
Katika somo hili lenye nguvu na upako, tunafunua siri kuu na kanuni za kiroho ambazo zitabadilisha maisha yako ya maombi.