29/05/2021
Bwana Yesu asifiwe. Natumai umzima jioni ya leo. Ningependa kukujulisha kuwa kanisa letu la Believers family limehamishwa kutoka ACK road, kuanzia kesho kanisa liko pale Dambaki road au deliverance road unateremka mpaka Mwiki secondary, kanisa letu liko hapo directly opposite gate ya Mwiki secondary. Tulisikizana jumapili iliyopita kwamba kesho tupatane pale kanisa letu lilipokuwa saa 9:00am ili tuondoke kwa pamoja hadi mahali palipo na kanisa letu sasa. Jioni njema yenye baraka tele.