Jesus Is Coming Deliverance and Healing Ministry

Jesus Is Coming Deliverance and Healing Ministry "Wherever Jesus went, He did good." [Acts 10:38]

Official Church Page (JCDH Ministry) led by Senior Prophet Apostle Jeremiah Kioko; Watch JCDH TV on Signet & Pang.

08/09/2026

LIVE BROADCAST || KUNA NGUVU KATIKA KUKIRI JINA LA YESU! πŸ”₯

Unapolikiri kwa imani, minyororo inavunjika, milango inafunguka na nguvu za giza zinatetemeka!

KUMBUKA LEO NI SIKU YA MWISHO YA ONE ON ONE..CHUKUA FURSA HII KUKETI CHINI NA NABII MKUU.

08/09/2026

Asubuhi hii, tunasimama katika uwepo wa Mungu kwa maombi, neno na mamlaka ya kinabii. πŸ™πŸ½

Kila mlango uliokuwa umefungwa, kila nguvu iliyokuzuia, na kila mpango wa adui dhidi ya maisha yako β€” MUNGU ANAWEZA KUBADILI HADITHI YAKO LEO! πŸ”₯

Usianze siku yako bila kumtafuta Mungu. Ungana nasi katika Morning Glory na uanze siku yako ukiwa umejawa na neema, nguvu na ushindi.

πŸ“– β€œEe BWANA, asubuhi utasikia sauti yangu…” β€” Zaburi 5:3

07/09/2026

COMMANDING THE WEEK | LIVE WITH SENIOR PROPHET.
I declare:
You shall not walk into shame.
Your family shall experience peace.
β€œThe blessing of the LORD, it maketh rich, and he addeth no sorrow with it.” β€” Proverbs 10:22

07/09/2026

MCHANA WA SAUTI YA KINABII || SENIOR PROPHET JEREMIAH.

07/09/2026

AMKA! OMBA! TAMKA!
Leo si siku ya kawaidaβ€”Mungu anaenda kusema juu ya maisha yako!

Usianze siku kwa hofu, mashaka au kukata tamaa. Ungana nasi LIVE, pokea Neno, na ianze siku yako kwa ushindi!

β€œHakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii.” β€” Amosi 3:7

06/09/2026

Baada ya ibada ya leo, usiache wiki yako ianze yenyeweβ€”iamuru kwa imani!

Kile Mungu ameanza ndani yako leo, kiendelee kukua katika wiki nzima. Tunakutana LIVE jioni hii kwa maombi na matamko ya kinabii ya kuamuru baraka, kibali, ulinzi, ushindi na mafanikio katika kila siku ya wiki yako.

β€œUtaamuru neno, nalo litathibitika kwako...” β€” Ayubu 22:28

06/09/2026

πŸ”΄π— π—”π—œπ—‘ π—¦π—˜π—₯π—©π—œπ—–π—˜>π—žπ—¨π—£π—”π— π—•π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—₯𝗒𝗛𝗒 𝗬𝗔 π— π—œπ—žπ—’π—¦π—œ π—Ÿπ—œπ—©π—˜ 𝗙π—₯𝗒𝗠 π—žπ—£π—–π—¨ π—•π—¨π—œπ—Ÿπ——π—œπ—‘π—š πŸ³π—§π—› π—™π—Ÿπ—’π—’π—₯-𝗑π—₯𝗕 ||

KILA MZUNGUKO WA SHIDA,
KUKOSA PESA, MAGONJWA, KUCHELEWESHWAβ€” UNAVUNJIKA

Kila kibaya kinachorudia-rudia kwenye maisha yako, kinafika mwisho kwa jina la Yesu!

06/09/2026

IBAADA YA KUVUNJA ROHO YA MKOSI | 1ST SERVICE.
>LEO, KWA IMANI, MWAMINI MUNGU NA UUNGANE NA NEEMA HII.

Kile kilichokuwa karibu lakini hakijawahi kuwa chako, leo kinamalizika kwa jina la Yesu!
JUST TRUST AND CONNECT!
Mungu anakutoa kwenye almost there na kukupeleka kwenye IT IS DONE. fans

05/09/2026

π—Ÿπ—œπ—©π—˜ 𝗕π—₯𝗒𝗔𝗗𝗖𝗔𝗦𝗧 || 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗬𝗔π—₯π—œπ—¦π—›π—’ 𝗬𝗔 π—œπ—•π—”π—”π——π—” π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—£π—”π— π—•π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—₯𝗒𝗛𝗒 𝗬𝗔 π— π—œπ—žπ—’π—¦π—œ...

-Kila kilichokuwa kinakuzuia, kila mzunguko wa kushindwa, kila kuchelewa kusikoeleweka na kila mzigo wa mikosiβ€”TUNAKIWEKA MADHABAHUNI!

NJOO UKIWA NA IMANI...

05/09/2026

πŸ”΄π—šπ—’π—’π——π— π—’π—₯π—‘π—œπ—‘π—š 𝗦𝗔𝗧𝗨π—₯𝗗𝗔𝗬 π—Ÿπ—œπ—©π—˜ 𝗕π—₯𝗒𝗔𝗗𝗖𝗔𝗦𝗧 || 5.9.2026.

Kuna mambo ambayo hayapaswi kuendelea kuwa sehemu ya maisha yako...
Kuna misukosuko ambayo imekaa muda mrefu sana, kuna maumivu ambayo hayapaswi kuvuka nawe kwenda hatua inayofuata, na kuna mikosi ambayo lazima ikome!

Address

KPCU BUILDING 7TH FLOOR
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus Is Coming Deliverance and Healing Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category