Senior Prophet Apostle Jeremiah Kioko

Senior Prophet Apostle Jeremiah Kioko This is Senior Prophet Apostle Jeremiah Kioko official page; Watch JCDH TV on Signet & Pang. "Wherever Jesus went, He did good." [Acts 10:38]

Usiku wa leo si wa kawaida.🔥 Usiku wa majibu.🔥 Usiku wa kufunguliwa milango.🔥 Usiku wa kubadilisha historia.Mungu anaend...
04/09/2026

Usiku wa leo si wa kawaida.
🔥 Usiku wa majibu.
🔥 Usiku wa kufunguliwa milango.
🔥 Usiku wa kubadilisha historia.

Mungu anaenda kukupa jibu litakalokufurahisha, kukushangaza, na kuwashangaza hata wale waliokuzunguka. ROHO YA MKOSI HAINA NAFASI KWAKO.

04/09/2026

JE, KUNA JAMBO UMEJARIBU MARA KADHAA, LAKINI KILA LINAPOKARIBIA KUMALIZIKA LINAFELI?
Kila kitu kinaonekana kwenda vizuri… halafu dakika za mwisho kinaharibika!
Je, umechoka na mzunguko huu wa kuanza, kufika karibu na mwisho, kisha kuanguka tena?
USIKOSE KWA IBAADA YETU SUNDAY YA KUVUNJA ROHO YA MKOSI. fans

04/09/2026

KESHA | LIVE WITH SENIOR PROPHET JEREMIAH KIOKO.
>USIKU WA LEO ✨

Mungu anaenda kusikia kilio chako, kujibu maombi yako, na kukupa ushuhuda utakaokufanya umtukuze jina lake.

“Nami nitawaita, nami nitawaambia; naam, nitawaonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua.” — Yeremia 33:3. fans

04/09/2026

PRE-KESHA LIVE BROADCAST — TUNAJIANDAA! 🔥🔥

MATAYARISHO YA KUPAMBANA NA ROHO YA MIKOSI!

Je, umechoka na mizunguko ya kushindwa, kuchelewa na kuanguka kila unapokaribia mafanikio? 😔

Leo tunaanza maandalizi kwa maombi, Neno la Mungu na imani, tukijiandaa kwa usiku wa kumtafuta Mungu kwa nguv@top fansans

🔥🔥 USIKOSE MKESHA HUU! 🔥🔥MATAYARISHO YA KUPAMBANA NA ROHO YA MIKOSI!Umechoka na kuanguka kila unapokaribia kuinuka?Umech...
04/09/2026

🔥🔥 USIKOSE MKESHA HUU! 🔥🔥

MATAYARISHO YA KUPAMBANA NA ROHO YA MIKOSI!

Umechoka na kuanguka kila unapokaribia kuinuka?
Umechoka kuona mambo yakianza vizuri lakini yanaishia njiani?
Umechoka na mizunguko ya kuchelewa, kukwama na kurudia matatizo yale yale?

🔥 HUU NI WAKATI WA KUSIMAMA KWA IMANI NA KUMTAFUTA MUNGU!

Mwezi wa Tisa tumeuanza kwa maombi, Neno na kumtegemea Mungu. Njoo na kilio chako, familia yako na matarajio yako. Usikubali kuendelea na mzunguko uleule bila kumwita Mungu!

📖 ISAYA 41:10
“Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, maana mimi ni Mungu wako...”

🕣 LEO JIONI | 8:30PM

📍 KPCU BUILDING, 7TH FLOOR
OPP. MARIKITI MARKET — NAIROBI

🔥 NJOO KWA IMANI! NJOO KWA MAOMBI! NJOO UKIMTAFUTA MUNGU!

MKESHA HUU USIKOSE — MWEZI WA TISA UANZE KWA NGUVU, IMANI NA MATUMAINI MAPYA! 🙏🔥

MUNGU BADO ANAWEZA KUBADILISHA HADITHI YA MAISHA YAKO!
fans

Ninatabiri juu yako leo—kila utakachogusa kitafanikiwa! Milango iliyofungwa inafunguka sasa, neema ya Mungu inakutanguli...
04/09/2026

Ninatabiri juu yako leo—kila utakachogusa kitafanikiwa! Milango iliyofungwa inafunguka sasa, neema ya Mungu inakutangulia, na ushindi unakufuata kila uendako.
Leo unaandika historia ya mafanikio yako!
KATIKA JINA LA YESU !!!
fans

Je, umechoshwa na mizunguko ya mikosi, kushindwa, kuchelewa na vita visivyoisha katika maisha yako?Huu ni usiku wa maomb...
04/09/2026

Je, umechoshwa na mizunguko ya mikosi, kushindwa, kuchelewa na vita visivyoisha katika maisha yako?

Huu ni usiku wa maombi ya nguvu, ukombozi na vita vya kiroho dhidi ya kila roho ya kiza inayopinga hatima yako.

⚔️ MKESHA WA KUCHOMA KILA MAROHO YA KICHAWI YANAYOSABABISHA MIKOSI KWA MAISHA YA WATU.
fans

Usikate tamaa, wakati wako wa ushuhuda unakuja!  fans
04/09/2026

Usikate tamaa, wakati wako wa ushuhuda unakuja!
fans

04/09/2026

USIKUBALI KUKOSA JUMA PILI HII K**A UNAPENDA MUSIKI. KWA YESU KUNA FURAHA.
TUNAPATIKANA KPCU BIULDING 7TH FLOOR OPP MARIKITI MRKT- NAIROBI.

04/09/2026

USIANZE SIKU YAKO KWA HOFU—IANZE KWA MUNGU! 🙏

Leo Mungu anakukumbusha: kile kilichokushinda jana hakitakushinda leo. Kila mlango uliofungwa, Mungu anaweza kuufungua; kila mzigo uliokulemea, Mungu anaweza kukupa nguvu za kuubeba na kushinda.

📖 “Ee BWANA, asubuhi utasikia sauti yangu; asubuhi nitajipanga mbele zako, na kutazamia.” — Zaburi 5:3
🙏 OMBA. AMINI. TAMKA. KISHA ENDELEE KUTEMBEA NA MUNGU.

🔥 LEO NI SIKU YA NEEMA, KIBALI NA USHIN@top fansfans

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Senior Prophet Apostle Jeremiah Kioko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category