Eden Gospel Trumpet Ministries

Eden Gospel Trumpet Ministries Preaching, Healing and Prophecy

14/05/2026

Kila mwadamu ana malaika wawili. mmoja ni yule uliyezaliwa naye, wapili na wa kukusaidia ufanyapo huduma, ama kazi

14/05/2026

wewe uliye na hekima wacha kuharibu mioyo za watu ambao hawajakomaa kwa huduma, waelekeze na wafuate nyayo za wokovu

14/05/2026

Ibaada ya kuombea magonjwa ni jumapili hii 16:5:2026- Iwapo unauguwa magonjwa ambayo hayaonekani kwa mwili na mengine yaonekana, lakini matibabu yamekuwa ni changamoto. Jaribu imani yako jumapili hii kwa madhabahu ya EGTM

13/05/2026

Niliwaambia huu unabii na ukatokea, nawakumbusha tena kuhusu mwezi wa sita

13/05/2026

K**a ninaona maono kutumia pepo, basi wewe ndio mkubwa wa mapepo ambayo yamejaa ndani mwako

13/05/2026

Wacha kukaa kwa kikao cha kuongelea watu walioendelea, utakonda bure

13/05/2026

Big shout out to my newest top fans! Lily Minyoso, Hellenah Nasash, Sylvia Midevah, Jackie Bekham, Rosemary Wambui, Winny Osale, Angeline Muthama, Purity Lubutse, Chisachie Marcy, Beatrice Mugechi, Alan Indiazi, Juliet Julo, Ķàvàñì Muitilaf, Austin Asirigwa, Antony Barasa, Hellen Khisa, Mamakee Liam, Kadenyi William, Starboynado Mukavi, Cnythia Atieno, Mary Aseka, Edigaga Mtakatifu, Joseph Orode, Indasi Felix, Dorcas Mutola, Eva Akola, Florence Mmbaiza, David Eboso, Azali Sharleen, Melody Chiliswa, Shash Odhiambo, Purity Namwaya, Shan Shane, Jane Aurah, Carol K Line, Rose Amara, Dorry Musix, Patrick Ombeva, Baraka Vilian, Evangelist Anthony, Robert Ndiema, Caro Adisa, Brian Owase, Aluchio Fred Freddie, Zaituna Ogega Mesha, Gabrielle Gabriel Gaby, Edith Engesha, Cynthia Kangeleha, Jacob Sonko, Kennedy Mmbuka

10/05/2026

Ukitaka kujua unaisha kiroho, utaanza kufanya vitu k**a hivi

Ukikataa kuachana na uchawi wako mapema na kuokoka, Mungu atakuabisha mbele ya Umati.Huduma people can a test to this.
10/05/2026

Ukikataa kuachana na uchawi wako mapema na kuokoka, Mungu atakuabisha mbele ya Umati.

Huduma people can a test to this.

Happy Mother's day from EGTM TV
10/05/2026

Happy Mother's day from EGTM TV

10/05/2026

Changamoto nilizopitia nilipoanza huduma, nilikuwa nauza mahindi nikilipa kodi ya kanisa, kanisa lilianza kuwa na watu kupitia kwa wale niliokuwa nikiwaombea wakipona- Amini Mungu siku zote

Address

Gatina Area, Kawangware
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eden Gospel Trumpet Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share