Bible preaching,praying and guidance

Bible preaching,praying  and guidance Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bible preaching,praying and guidance, Religious organisation, Nairobi.

30/01/2025
03/12/2024
26/07/2023

Tunawatangazia washiriki wetu wote na marafiki mchango wa kuokoa kuhan josphat musee kutoka kwa mkono wa serikali ya uganda alijipata penye uhalifu bila kujua akakamatwa tunahitaji ANGALAU 200 000 YA BOND MPESA 0723-695105 ( NAMBOLE ) MIMI ORGANISING SECRETARY EAST AFRICA SAMSON ANGALUKI BIDOLWA MSAMBWEN KWA NIABA YA PRAYING AND HEALING CHURCH

24/07/2023

Thank you lord for giving us another chance we worship you Lord bless everyone

Looking for experts call on us
21/03/2023

Looking for experts call on us

Nice jobs in woodwork plumbing and electrical
21/03/2023

Nice jobs in woodwork plumbing and electrical

19/11/2021

8 Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao;
9 Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; Uwapatie maskini na wahitaji haki yao.

17/11/2021

Bwana apewe sifa amen , wakati mwingine mazingira tunayoishi ndani na tuliyo zaliwa ndani yanatuweka katika hali ya mateso kufungwa na kuporomoka ,wewe unalia ulevi ulevi na unatembea na kuishi katika mazingira ya walevi ! Badilisha mazingira uoone wema wa bwa bwana,unalia umasikini wewe mwenyewe umeamua kuishi na mienendo na mazingira ya kimaskini badilisha mienendo na mazingira tembea na kukutana na watu wenye maona ya kubarikiwa nawe utabarikiwa,unalia kuoa au kuolewa kwako kumekua shida ilihali mazingara unayoishi , imezungukwa na watu ambao ndoa ziliwashinda wanaishi upweke ni vipi utapata ushauri uliobora kwenye mazingira hayo? Badilisha kula na kutembea na watu waliosimama wima kwenye ndoa nawe utasimama ,Amen mubarikiwe

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bible preaching,praying and guidance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Bible preaching,praying and guidance:

Share