Masjid HAMZA

Masjid HAMZA RELIGIOUS ORGANISATION

03/11/2023
12/10/2023

Check out 🤍's video.

30/08/2023

ذكّر ابنك أن الحياة علمتنا أن أي شخص يمكن أن يتغير بغض النظر عن تاريخك أو علاقتك!

Mkumbushe Mwanao kwamba Maisha yametufundisha kuwa yoyote anaweza kukubadilikiya haijalisha historiya mliyokuwa nayo wala uhusiuano wenu!

✍🏻 Al Hassan Mohammed Mokhtar

11/02/2023

FAIDA ZA KUOLEWA

Tuangalie kwanza thawabu anazo zipata mwanamke kwa ajili ya kuolewa

1: kila jambo analo lifanya nyumbani kwake huandikiwa thawabu za sadaka✍🏻

2: Akimuangalia mmewe na akacheka akafurahi huandikiwa sadaka✍

3: akistarehe nae huandikiwa thawabu mpaka waoge✍🏻

4: akibeba mimba mwanamke huyo Huandikiwa thawabu mpaka Ajifungue✍

5: siku hiyo Ameza hufutiwa dhambi zake zote japo ninyingi kuliko bahari✍🏻

ALLAH AKBARU

Mwanamke mwenye kutekeleza haki za mumewe mtume s.a.w alimsifu katika sifa ya nne

👇
*MWANAMKE MWENYE DINI* ✍🏻

Na mwanamke mwenye dini sio yule anae jua kusoma sana Qur'aan wala sio yule ambae amehifadhi sana Qur'aan wala sio yule ambae anajua kadha wa kadha kuhusu ndoa

❤❤ *BALI NI YULE MWANAMKE MWENYE KUTEKELEZA HAKI ZA MWENYEZI MUNGU NA ZA MUME WAKE❤❤
*
✏️Mtume s.a.w alisema

Akiswali mwanamke sala zake na akafunga mwezi mtukufu wa Ramadhani na akamtwi mme wake ataingia peponi kwa mlango wowote autakao

🙏🙏pia huombewa msamaha na viumbe👇👇

🕊
Ndege Angani

🐟
Samaki baharini

👇
Malaika mbinguni

Vyote vinamuombea msamaha mwanamke huyo🙏🙏

Hadithi ya pili ikasema✍🏻

❤Mwanamke atakae fua nguo za mme wake hupandishwa daraja 1000

Anasamehewa madhambi 1000

✍🏻
Na anaandikiwa thawabu 1000✍

Leo hii dada/mama/wake zetu wanachukua nguo za waume zao wanasukumia wa wafanyakazi wafue Innalillah wai.nnalillah rajiun

Hizo 👆👆👆 ndo thawabu wanazo zipata kina mama wewe uliyekua kwenye ndoa jichukulie thawabu izi wewe ambae haupo kwenye ndoa tufanyenihima tuingie ili nasi tuzipate izi thawabu,usichague mume kisa hana gari, nyumba, fedha ndo iwe sababu ya kukataa.. ndoa ni stara na stara ya mwanamke ni kuwa na mume wake.

Address

Nairobi South

Telephone

+254713799480

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masjid HAMZA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share