Reverend Mathew Muli ministries.

Reverend Mathew Muli ministries. Making you a Fisher of men

07/08/2019

Goodmorng my viewers.leo tusome zaburi 23:5,inasema Bwana ataandaa meza mbele ya maadui wako.kikombe chako kifurike mbele yao.akupake mafuta mbele yao.Hesabu 23:23.naye inasema"hakika hapana uchawi hapana uganga juu ya israeli,juu ya yakobo.mbona unashtuliwa na wachawi.?youre a blessed tribe.sema amen.

04/08/2019

Isaya 60:1,,,-ondoka uangaze Nuru yako imekuja.,,, mathayo 18:18.kwanini tukiomba hatujibiwi? kwanini hatuagazi na Nuru ya YESU imekuja?jibu liko(Isaya 1:15-20), Biblia inasema hata tukiomba maombi mengi MUNGU hataskia.ju mikono yetu imejaa damu.tujioshe tujitakase.(yoshua 3:5)utakaso Ni lazima ili tubarikiwe.Amka,omba,jitakase,ondoka uende kanisa.Ibada ya baraka kwenu nyote.

03/08/2019

Good evening my viewers.kesho Niko na huduma ya kiroho hapa mwingi ANNOINTING saa 10am.nyote mwakaribishwa.

01/08/2019
01/08/2019

Good morning my viewers.this is Reverend Mathew again preaching to you.today I'm talking about salvation (wokovu). 1.wokovu Ni Nini?.(wokovu Ni ukombozi.biblia ueleza ukombozi huo Kitaifa,kimwili na kiroho.(a.kitaifa=waisraeli waliokolewa kutoka katika utumwa huko misri.(kutoka 13:14)hawakuweza kujiokoa wenyewe mpaka pale Mungu mwenyewe aliwakomboa na kuwatoa misri.)(b.kimwili=Danieli aliokolewa na MUNGU,hata hasidhurike na Simba katika pango.(Danieli 6:22-23).(lililo Kubwa zaidi Ni C.Wokovu wa kiroho.1.kwa Roho wanawake na wanaume waliolemewa na dhambi na kugojea hukumu,wanaweza kupata "WOKOVU" huo mkuu.lakini kwa nafsi zao hawawezi kujiokoa.bali Ni kipawa Cha MUNGU mwenyewe.zaidi ya your, wokovu huu haupatikani kwa kanisa Fulani,au kwa mtu Fulani BALI kwa BWANA YESU KRISTO.
(Waefeso2:8-9)kwa njia ya wokovu huu mkuu huja FURAHA na KUSAMEHEWA.Nguvu ya kuishi maisha ya kikristo,na matumaini kuwa siku moja tutanyakuliwa JUU mbinguni na kuishi pamoja na mwokozi wetu Milele na Milele.(somo linaendelea...wasiliana nasi kupitia simu:0743655435,,au barua pepe: [email protected],, Facebook: Reverend Mathew MULI ministries.asanteni.

31/07/2019

Mchana huu Niko hapa katoloni prayer center machakos.but Kuna sauti ninaskia wapendwa(Isaya 1:15-21). Barikiweni.

31/07/2019

Hii Ni huduma ya MUNGU aliye hai.sio sarakasi.naomba mlete maitaji na tukiomba mtajibiwa.(Amosi 3:7,,hakika Bwana hatafanya chochote bila kufunulia manabii Siri yake.wewe unaeteseka nipigie simu.(2nyakati 20:20)nisieni enyi mlioteswa na kutumika vibaya na waombaji wanaoogozwa na matumbo Yao.Mungu ameskia kilio chenu na ameshuka hili awatetee(Isaya 65:24)anasema katika Jeremiah 4:1,Kama ukitaka kurudi mrudie yeye Jehovah.wacheni kutafuta msaada kwa wanadamu.sema amen.nipigie simu.nitumie ujumbe,wewe ambaye biashara imekwama.(Jeremiah 33:3,)anasema tumuite ataitika.anatuwazia mema(Jeremiah 29:11-13)nataka kuomba nanyi mkombolewe.karibuni.(zekaria 4:6).

31/07/2019

Katika kitabu Cha waebrania 2:3..tutaweza kupona tukidharau wokovu huu namna hi.jameni acheni kupuuza kazi za MUNGU tupate kupona.huko mgonjwa,Hama maisha yako hayaendi vizuri.naomba usome 2wakorintho 6:1-3.sema Bwana YESU nisamehee.tubu mbele za Yes(Joshua 3:5)naskia kubariki mtu asubuhi yaleo.omba hili ombi.sema BWANA YESU, nakupenda,nisamehee dhambi na makosa futa jina langu kwa kitabu Cha mauti.andika jina langu kwa kitabu Cha uzima.kuanzia Leo nimeokoka.sema amen.wacha tuombe(BABA mtakatifu nimeinamisha kichwa changu chini.nakuomba mkumbuke huyu mpendwa.amekataliwa,ukamku abali njia zake zifanikiwe.asante YESU kwa matendo yako maajabu.nafunja Kila ngome za Ibilisi katika Jina Kuu la YESU.amen.ugetaka kuniona nikuhudumie.ju ya familia,kazi,masomo,KIBALI,kungoa mapepo,kubomoa madhabau.wasiliana nami Rev.Mathew kwa hii namba;0743655435 Hama kwa email address: [email protected] hapa Mwingi town kitui county.kanisa Ni Jesus Rejoicing Mission centre-JRMC.asante na MUNGU awabariki

Address

Slaughter House Road
Mwingi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reverend Mathew Muli ministries. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share