Rest chapel int'l church malindi

Rest chapel int'l church malindi Mahali pa kumwabudu Mungu pamoja na kuijua Sheria ya Mungu ifanikishayo.

Glorious God. Munga Arnold Ministries
19/08/2026

Glorious God.
Munga Arnold Ministries

Exodus 15:26(26) akawaambia, Kwamba utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zak...
05/08/2026

Exodus 15:26
(26)
akawaambia, Kwamba utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, mimi sitatia juu yako maradhi yo yote niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.


Munga Arnold Ministries

Bwana anapozuru wengine asikupite Kwa ibada ya leo.
02/08/2026

Bwana anapozuru wengine asikupite Kwa ibada ya leo.

Neno la siku- Zaburi 34:15[15] Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.Mungu anakuon...
24/07/2026

Neno la siku- Zaburi 34:15
[15]
Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.

Mungu anakuona na wakati huo pia anakuskia uliapo.
Mkono wake ujuu yako asubuhi hii ya leo.
Hakuna baya litakalosimama mbele ya wale awapendao.
Mikono yako na kazi za mikono yako zimebarikiwa kote.
Mungu akubariki pamoja na walio karibu na wewe( mumeo/mkeo/wanao na ndugu zako).
Kila kikwazo mbele yako nimekiondoa kwa jina la YESU.
Kila mipaka nimeivunja, ifaulu kwa yote kwa jina la yesu.
Natangaza, iwe heri kwako leo.
Kile ambacho hakikufanyika nyuma kifanyike leo kwa jina la YESU.
Natangaza, njia zako zifunguke na BARAKA ni fungu lako kila siku.
Mungu afungue kila mlango uliofungika mbele yako.
Ulindwe na ufaulu kwa jina la yesu.
.
Evangelist Arnold Munga Munga Arnold Ministries

Ibada njema huko pia.Sisi bwana anatupendelea huku.
19/07/2026

Ibada njema huko pia.

Sisi bwana anatupendelea huku.

Rest dome.
15/07/2026

Rest dome.

More highlights.Bwana alijitukuza jana kwa ibada ya jumapili.Ubarikiwe kwa kuja.
06/07/2026

More highlights.

Bwana alijitukuza jana kwa ibada ya jumapili.

Ubarikiwe kwa kuja.

ITAKUWA
26/06/2026

ITAKUWA

Tushaianza safari.Usikose mwanzo huu
23/06/2026

Tushaianza safari.

Usikose mwanzo huu

Address

Ngonyo Road
Mombasa

Telephone

254727884239

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rest chapel int'l church malindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share