31/05/2026
Shetani alibuni Lugha yake akaingiza makanisani. Hizi ni lugha ambazo Yesu hatambui, nami pia sizitambui. Huu ni upuzi wa ibilisi. katika Matendo 2, tunaona Lugha Zilizozunmzwa pale zilikuwa Lugha halisi za wanadamu kutoka tabaka mbalimbali zikizungmzwa na Wayahudi kutoka mji wa Galilaya, tena walio wasikia walisikia Wayahudi hao wakizunguzwa Lugha zao walio zaliwa zazo - huku wakimsifu Mungu.
Wenye hii tabia hapa chini👇👇👇nyie ni waongo tena mnawapoteza waumini wengi sana kwa kwenda zaidi ya maandiko matakatifu. Tubuni mrudie njia za Bwana, Mtafuteni uso wake kungali kunanafasi. Tena mjue fika ya kuwa kuongeza lolote katika maandiko ni dhambi.