Ev. Ezekiel - Newlife Prayer Centre and Church

Ev. Ezekiel - Newlife Prayer Centre and Church Pastor Ezekiel, an evangelist pastor with a fervent spirit and unwavering dedication, has been a beacon of faith and inspiration within the community.

With a magnetic charisma and a passion for sharing the Gospel.

Wewe mwenye kupata huu ujumbe,,Mungu yuko nawe na leo hii iwe siku ya furaha kwako..ponyeza alama ya ujumbe na tuma hita...
02/09/2025

Wewe mwenye kupata huu ujumbe,,Mungu yuko nawe na leo hii iwe siku ya furaha kwako..ponyeza alama ya ujumbe na tuma hitaji lako kwa ajili ya maombi

02/09/2025
Jiunge nasi kwa njia ya live
31/08/2025

Jiunge nasi kwa njia ya live

Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God...

31/08/2025

Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God...

30/08/2025

LET GOD MULTIPLY YOUR BLESSINGS TONIGHT AS YOU GO TO SLEEP LET YOUR STAR SHINE AND YOUR FAMILY BE BLESSED

29/08/2025

4082 likes, 528 comments. “Baba yetu uliye mbingu naomba ujibu maombi ya huyu🫵🏻🫵🏻🫵🏻atakae andika Mungu nibariki,🙏🏻🙏🏻”

27/08/2025

Kazi ya Mungu na iendele....Pokea uponyaji wako

Warumi 15:7 Basi karibishaneni k**a Kristo alivyowakaribisha ninyi, kwa utukufu wa MunguNjoo ujumuike nasi kila jumapili...
27/08/2025

Warumi 15:7
Basi karibishaneni k**a Kristo alivyowakaribisha ninyi, kwa utukufu wa Mungu

Njoo ujumuike nasi kila jumapili,au ufatilize vipindi vyetu live YouTube na pia kwa tv yetu ambayo huhakikisha ujumbe unakufikia popote ulipo.

Na Mungu aketiye juu Mbinguni ayapanguze machozi yako..Nyota yako irudishwe,Familia yako imagine na fedha na mali zikae ...
27/08/2025

Na Mungu aketiye juu Mbinguni ayapanguze machozi yako..Nyota yako irudishwe,Familia yako imagine na fedha na mali zikae ndani yako,kwa yote mwanzo mtumainie Mungu na kunyenyekea mbele zake

26/08/2025

Kupokewa kwa Mwili na Damu yako, Bwana Yesu Kristo, kusiniletee hukumu na hukumu, bali kwa rehema zako na uwe ulinzi kwangu katika

Majina matatu ya Ushirika Mtakatifu ni yapi?

Yaliyomo
1.1 Ekaristi.
1.2 Meza ya Bwana.
1.3 Komunyo.
1.4 Masharti mengine. 1.4.1 Kumega mkate. 1.4.2 Sakramenti au Sakramenti Takatifu. 1.4.3 Misa 1.4.4 Liturujia na Huduma ya Kimungu. 1.4.5 Ibada zingine za Mashariki.

26/08/2025

Mungu ni muweza,,Hii siku wacha iwe mwisho wa kuteseka kwako

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev. Ezekiel - Newlife Prayer Centre and Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share