04/01/2026
2026: THE YEAR OF OPEN GATES
What a powerful way to start the year! Today, our Reverend Sammy Njagi welcomed us back from the holidays with a life-changing word for 2026 from Psalm 24:7:
“Lift up your heads, O you gates! Be lifted up, you ancient doors, that the King of Glory may come in!”
As we step into this new season, we declare that 2026 is our year of unhindered access and divine entry. Every ancient gate of delay, limitation, or struggle is being lifted off its hinges to make room for the King of Glory to take His place in our lives, families, and businesses!
Our 2026 Focus:
Open Gates: We command every door of opportunity that has been shut to swing wide open.
The King Enters: This isn't just about us—it's about the King of Glory bringing His power and victory into our situations.
Shift in Posture: We are lifting our heads in confidence, leaving the holidays behind, and positioning ourselves for a year of "Greater Glory."
Welcome to your year of Open Gates! Let the King of Glory come in!
Listen to the word through this link https://www.youtube.com/live/dOIEQtmJJyM?si=sS2HX3BcnFTZ7iZg
SWAHILI VERSION
2026: MWAKA WA MILANGO ILIYOFUNGUKA
Ni mwanzo wa ajabu wa mwaka! Leo, Mchungaji wetu ametukaribisha tena baada ya mapumziko ya likizo na kutupitisha kwenye neno letu la kinabii la mwaka 2026 kutoka Zaburi 24:7:
“Inueni vichwa vyenu, enyi malango; inukeni, enyi milango ya kale, Mfalme wa utukufu apate kuingia!”
Tunapopiga hatua kuingia katika majira haya mapya, tunatangaza kuwa 2026 ni mwaka wetu wa upatikanaji usiozuilika na kuingia kwa kimungu. Kila lango la kale la kuchelewa, kuzuiliwa, au kukwama linaondolewa sasa ili kumpisha Mfalme wa Utukufu atawale katika maisha yetu, familia zetu, na kazi zetu!
Mtazamo wetu wa 2026:
Milango Iliyofunguka: Tunayaamuru kila malango ya fursa yaliyokuwa yamefungwa yafunguke sasa kwa kishindo.
Mfalme Anakuja: Huu si mwaka wa nguvu zetu, bali ni mwaka wa Mfalme wa Utukufu kuingia na ushindi na uweza Wake katika hali zetu.
Mkao wa Ushindi: Tunainua vichwa vyetu kwa ujasiri, tukiacha mambo ya kale nyuma, na kujiweka tayari kwa mwaka wa "Utukufu Mkuu."
Karibu katika mwaka wako wa Milango Iliyofunguka! Mfalme wa Utukufu na aingie!