Jehovah Jire Ministry For All Nations

Jehovah Jire Ministry For All Nations Bringing many souls to Christ

Usikose kuhudhuria kongamano la kinabii , mwalike Na mwenzako , jumapili ya leo ni jumapili ya TAA yako iliyo zimwa kung...
13/09/2020

Usikose kuhudhuria kongamano la kinabii , mwalike Na mwenzako , jumapili ya leo ni jumapili ya TAA yako iliyo zimwa kung'alishwa tena mtu wa MUNGU prophet Elias Israeli atakuwepo

We are welcome you this blessing Sunday came and receive the anointing that make you to finished this August with full b...
23/08/2020

We are welcome you this blessing Sunday came and receive the anointing that make you to finished this August with full blessings , man of God prophet Elias Israeli is back don't miss

Acha MUNGU ainue biashara yako, akuinulie watu wa nzuri tunapoenda kuumalizia mwezi huu wa nane ainue watu watakao maliz...
19/08/2020

Acha MUNGU ainue biashara yako, akuinulie watu wa nzuri tunapoenda kuumalizia mwezi huu wa nane ainue watu watakao malizia hio nyumba yako ilioishia kwenye lenta , huyo alie goma kukusaidia atakusaidia Kwa jina la YESU

Mapenzi ya MUNGU ni kuona watu wake wanainuliwa ,acha MUNGU wa MBINGU Na NCHI akuinue kutoka chini mpaka juu akuketishe ...
17/08/2020

Mapenzi ya MUNGU ni kuona watu wake wanainuliwa ,acha MUNGU wa MBINGU Na NCHI akuinue kutoka chini mpaka juu akuketishe Na wakuu pokea upako wa mwezi wa nane

Leo ni tarehe ya kinabii usikose kufatilia 8/8 mtu wa MUNGU prophet Elias atakuwepo hewani kuanzia saa tano Na nusu atak...
09/08/2020

Leo ni tarehe ya kinabii usikose kufatilia 8/8 mtu wa MUNGU prophet Elias atakuwepo hewani kuanzia saa tano Na nusu atakuwa amesimama kukuhudumia mjulishe Na mwenzako

Ili adui akushinde anakuchunguza mienendo yako , unafanya nini ,unavaa nini unapenda kitu gani ,unakula wapi nk. Kuwa ma...
07/08/2020

Ili adui akushinde anakuchunguza mienendo yako , unafanya nini ,unavaa nini unapenda kitu gani ,unakula wapi nk. Kuwa makini sana usiwe mtu wakutabirika hadi shetani anakutabiria.......

Wewe mpendwa tunakukaribisha kwenye ibada ya leo usipange kukosa mtu wa MUNGU prophet Elias Israeli atakuwepo akikuhudum...
02/08/2020

Wewe mpendwa tunakukaribisha kwenye ibada ya leo usipange kukosa mtu wa MUNGU prophet Elias Israeli atakuwepo akikuhudumia watu wa dini zote mnakaribishwa

Jeremiah 1:8 Bible inasema Usiogope Kwa sababu ya hao maana Mimi niko pamoja Na we nikuokoe, asema BWANA, mwezi huu wana...
01/08/2020

Jeremiah 1:8 Bible inasema Usiogope Kwa sababu ya hao maana Mimi niko pamoja Na we nikuokoe, asema BWANA, mwezi huu wanane MUNGU akuokoe Na kila mitego ya maadui zako pokea Kwa jina la YESU

Unirehemu ,Ee MUNGU unirehemu Mimi maana nafsi yangu imekukimbilia wewe nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako hata misiba hi...
31/07/2020

Unirehemu ,Ee MUNGU unirehemu Mimi maana nafsi yangu imekukimbilia wewe nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako hata misiba hii itakapo pita

Kuwa makini sana Na dhambi unazo zifanya za Siri siku moja zitakuja kuku nyima vitu vizuri kutoka 2:12 Bible inasema aka...
30/07/2020

Kuwa makini sana Na dhambi unazo zifanya za Siri siku moja zitakuja kuku nyima vitu vizuri kutoka 2:12 Bible inasema akatazama huko Na huko Na alipoona ya kuwa hapana mtu akampiga mmisiri yule akamficha ndani ya mchanga hapa utaona msa aliuua hili jambo lili mfanya shetani aweke kumbukumbu, YUDA 1:9 inasema lakini Mikaeli malaika mkuu aliposhindana Na ibilisi Na kuhojiana nae Kwa ajili ya mwili wa MUSA hakuthubutu kumsh*taki Kwa kumlaumu bali alisema BWANA na akukemee unaona hapa japokuwa MUSA alikuwa mtumishi wa MUNGU tena viwango vikubwa lakini shetani hakuelewa kuwa MUSA alitubu pale alipo ambiwa vua viatu vyako maana mahali hapa ni patakatifu Kwa hio kuwa makini sana Na dhambi unazo zifanya za Siri

Zaburi 9:9 BWANA atakuwa ngome kwake alie onewa Naam ngome Kwa nyakati za shida. Nakuombea mwezi huu mpya MUNGU awe ngom...
30/07/2020

Zaburi 9:9 BWANA atakuwa ngome kwake alie onewa Naam ngome Kwa nyakati za shida. Nakuombea mwezi huu mpya MUNGU awe ngome kwako Kwa kila kitu

Address

Migori

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jehovah Jire Ministry For All Nations posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share