Pentecostal assemblies of God.k.japata assembly

Pentecostal assemblies of God.k.japata assembly we located nabeki farm 8km from chepchoina

29/05/2021

We are still in control because Jesus Christ is in our side,tukutane katika madhabahu P A.G-japata/chebai

Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho so chakula ?na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha ?nisikiliseni kwa bidii,...
13/10/2020

Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho so chakula ?na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha ?nisikiliseni kwa bidii, mle kilicho chema.nakujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
Ndo neno LA Leo hebu tucchambue alafu tubarikiwe pamoja

Bwana yesu asifiwe,himizo kwa wakati huu ambapo kanisa limefungwa.zaburi1:1-2,heri mtu yule asiyekwenda katika shauri ya...
07/05/2020

Bwana yesu asifiwe,himizo kwa wakati huu ambapo kanisa limefungwa.zaburi1:1-2,heri mtu yule asiyekwenda katika shauri ya wazito haki wala akuketi barazani pa wenye mizaa

Karibu katika ibada abudu nasi online, neno la leo ni kutoka Zaburi 27:4-5 nijapo pitia katika bonde la ufuli ya mauti s...
03/05/2020

Karibu katika ibada abudu nasi online, neno la leo ni kutoka Zaburi 27:4-5 nijapo pitia katika bonde la ufuli ya mauti sitaogopa.je.ni hali Inayokutisha maishani mwako, usiogope maana bwana yuko upande wako

During this pandamic time,P.A.G japata we still praying for you and your family,send sms us for prayers request:07003196...
02/05/2020

During this pandamic time,
P.A.G japata we still praying for you and your family,send sms us for prayers request:0700319699

The word of the day, John 3:16,kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee hili kila amw...
02/05/2020

The word of the day, John 3:16,kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee hili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele, this is unconditional love.tumependwa bure bila kulipia gharama yeyote.inaitwa agape love

Our Lord is able thanks Almighty for this far
01/05/2020

Our Lord is able thanks Almighty for this far

10/04/2020

God bless all who follow us.as P.A.G japata assembly.we have a time to pray for our friends.we pray God to maintain our friendship.and Lord stand with you in this very important time.we ancourage you to pray our nation and around the globe.let us use this scripture.Psalms 127:1-2 thank you the massege from pastor in charge Isaiah emuria

Happy Sunday, welcome P.A.G japata assembly.come worship with us
08/03/2020

Happy Sunday, welcome P.A.G japata assembly.come worship with us

Help with fraud prevention, quality control, and faster production. Complex warehousing simplified with online process controls and remote sensors. We offer complete China ground operations solution. We are an end to end solution - Assembly.com

Address

Kitale

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pentecostal assemblies of God.k.japata assembly posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share