Seekers After God Church -Kitale

Seekers After  God Church -Kitale Religious organization

Mungu ako siku yake ya kumwinua mtu katika hali yoyote ili ambayo unapitia leo , Mungu atakupa jibu lako . Just read Joh...
07/03/2026

Mungu ako siku yake ya kumwinua mtu katika hali yoyote ili ambayo unapitia leo , Mungu atakupa jibu lako . Just read John 5:6-9.

Imani ni kuamini kuwa ni Moja kulingana na,Isaya 44:6,Ufunu 1:8.(2)Imani ni kuwa na uhakika na Mungu mkuu wa mbinguni.(3...
06/02/2026

Imani ni kuamini kuwa ni Moja kulingana na,Isaya 44:6,Ufunu 1:8.(2)Imani ni kuwa na uhakika na Mungu mkuu wa mbinguni.(3)Imani ni kuonyesha matendo ya Mungu mahali ulipo.James 2:14-18.

Mahali popote ambapo Mungu anakuweka anataka kukuona ukifanya kazi,kwa jamii ,kwa kazi yako ,kwa taifa na pia ndani ya k...
29/01/2026

Mahali popote ambapo Mungu anakuweka anataka kukuona ukifanya kazi,kwa jamii ,kwa kazi yako ,kwa taifa na pia ndani ya kanisa lako

Tunashukuru Mungu kwa umbali huu ambao ametufikisha mwaka huu wa 2026, Mwaka huu mfalme wa wafalma ambaye Anavunja ametu...
01/01/2026

Tunashukuru Mungu kwa umbali huu ambao ametufikisha mwaka huu wa 2026, Mwaka huu mfalme wa wafalma ambaye Anavunja ametutangulia mbele zetu ,ni wakati wa kusonga mbele kwa neema ya Mfalme Mkuu.Mika 2:13.

Address

Kitale

Opening Hours

Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254714468692

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Seekers After God Church -Kitale posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share