Masjid Nur Kaloleni Kisumu

Masjid Nur Kaloleni Kisumu Hili ni kundi rasmi la msikiti wa Noor kaloleni.

kwa taarifa zozote za msikiti mtazipata hapa inshaallah...Pia ukitaka kuzungumza na Imam Maalim Issa Abdallah moja kwa moja number yake ni 0728599621

May Allah bless all those who will say Amiin for this dua. Jumuah Mubarak
11/06/2026

May Allah bless all those who will say Amiin for this dua. Jumuah Mubarak

Allah atujaalie tuwe miongoni wa wema watakaopata barka na hifadhi ya Allah! Jumua Mabsuuth
04/06/2026

Allah atujaalie tuwe miongoni wa wema watakaopata barka na hifadhi ya Allah! Jumua Mabsuuth

Muombe Allah chochote utakacho katika siku hizi tatu za Tashreeq na Allah atakupa. nasi twawaombea..
28/05/2026

Muombe Allah chochote utakacho katika siku hizi tatu za Tashreeq na Allah atakupa. nasi twawaombea..

Taqabbalallahu Minna waminkum
26/05/2026

Taqabbalallahu Minna waminkum

Tufike mapema Inshaallah, ukitawadha nyumbani will be better na pia ukichelewa unaweza beba mswala maana uwanja utakuwa ...
25/05/2026

Tufike mapema Inshaallah, ukitawadha nyumbani will be better na pia ukichelewa unaweza beba mswala maana uwanja utakuwa mkubwa ya kuwatosha kila mmoya.. Eid Mubarak in advance..

Allah ajaalie Ijumaa hii iwe ni ufunguo ya mambo yetu yote ya kheri, Rizki na kila jema.
21/05/2026

Allah ajaalie Ijumaa hii iwe ni ufunguo ya mambo yetu yote ya kheri, Rizki na kila jema.

Nakuombea afya njema, maisha bora na raha maishani mwako. Sema AMIIN.Jumaa njema
14/05/2026

Nakuombea afya njema, maisha bora na raha maishani mwako. Sema AMIIN.

Jumaa njema

Ya Allah kwa neema zako tutaqabalie dua zetu, tuondoshee matatizo na utufungulie milango ya kheri
07/05/2026

Ya Allah kwa neema zako tutaqabalie dua zetu, tuondoshee matatizo na utufungulie milango ya kheri

All those ailing and are sick May Allah grant them all Good health. Jumuah Mubarak...
30/04/2026

All those ailing and are sick May Allah grant them all Good health. Jumuah Mubarak...

Allah akutaqabalie dua zako zote na kila utakacho maishani mwako..
23/04/2026

Allah akutaqabalie dua zako zote na kila utakacho maishani mwako..

Address

Kaloleni
Kisumu

Telephone

+254728599621

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masjid Nur Kaloleni Kisumu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share