Ekerubo ELCK Youth Choir

Ekerubo ELCK Youth Choir Spreading the word of God through gospel tracks and live performances

11/08/2025

Hi members we have a fundraising group for our one of member who is joining karatina university we have now collect 62k any of your support 0712189722 we appreciate your contribution may God bless you all

22/11/2023

We welcome all of you to our synod that will start next week on November 29 to December 3, 2023. May God bless you!

We welcome you all come Sunday October 29, 2023 to support us in raising 600k during this special day
11/10/2023

We welcome you all come Sunday October 29, 2023 to support us in raising 600k during this special day

12/12/2022

".............na Yesu alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi! kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako.............”
Luka 19:1-10

12/12/2022

"Bwana akamwambia Nuhu, Ingia wewe na jamaa yako yote katika safina; kwa maana nimekuona wewe u mwenye haki mbele zangu katika kizazi hiki......."
Mwanzo 7:1-24

12/12/2022

"Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo cha dhiraa sitini, na upana wa dhiraa sita, akaisimamisha kwenye tambarare ya Dura katika jimbo la nchi ya Babeli.........."
Danieli 3:1-30

12/12/2022

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwana wake wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye."
Yohana 3:16-17

12/12/2022

"Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Mathayo 11:28-30

12/12/2022

"Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe k**a theluji; zijapokuwa nyekundu k**a bendera, zitakuwa k**a sufu."
Isaya 1:18

Address

Ekerubo
Kisii
40510

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ekerubo ELCK Youth Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ekerubo ELCK Youth Choir:

Share