FGCK JOGOO LCA KISII

FGCK JOGOO LCA KISII Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FGCK JOGOO LCA KISII, Christian church, Kisii.

Join us for vibrant worship, powerful teaching, and fellowship rooted in love and truth.� Located in Kisii Team Sales along Jogoo -Getare Road | � All are welcome | � Empowered by the Holy Spirit

31/05/2026

MAIN SERVICE SERMON WITH MRS. MIRIAM NG'ANG'A

31/05/2026

FIRST SERVICE FGCK JOGOO BRANCH KISII

Guide verse in the month of June Nehemiah1:4Karibu kwa prayer and fasting.
31/05/2026

Guide verse in the month of June Nehemiah1:4
Karibu kwa prayer and fasting.

"Naingia malangoni pa Bwana kwa shukrani, na nyua zake kwa sifa." — Zaburi 100:4Karibu sana katika ibada yetu ya leo FGC...
31/05/2026

"Naingia malangoni pa Bwana kwa shukrani, na nyua zake kwa sifa." — Zaburi 100:4
Karibu sana katika ibada yetu ya leo FGCK Jogoo Branch, Kisii. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa fursa nyingine ya kukusanyika mbele zake kwa furaha, sifa na kuabudu.

“Naingia malangoni pa Bwana kwa furaha, nikiwa na moyo wa shukrani na sifa.”
Tunakukaribisha wewe na familia yako kujiunga nasi tunapopokea Neno la Mungu, maombi na ushirika wa waumini. Mungu akubariki kwa kujumuika nasi leo.
Karibu FGCK Jogoo Branch Kisii — Mahali pa Ibada, Neno na Uwepo wa Mungu! 🙏✨

26/05/2026

IN LOVING MEMORY OF REV. CATHERINE MACHARIA.

26/05/2026

IN LOVING MEMORY OF REV. CATHERINE MACHARIA

24/05/2026

F.G.C.K JOGOO LCA KISII MAIN SERVICE

24/05/2026

FGCK JOGOO LCA KISII FIRST SERVICE

“Ndipo nikasikia sauti ya Bwana, ikisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo nikasema, Mimi ...
21/05/2026

“Ndipo nikasikia sauti ya Bwana, ikisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo nikasema, Mimi hapa, nitume mimi.”
— Biblia Kitabu cha Isaya

Mungu huwa anahitaji kutumia yeyote aliye tayari. Swali si k**a una nguvu nyingi, elimu kubwa ama umaarufu… swali ni, je uko tayari kuitika wito Wake? Wengi huomba muda, nafasi na ruhusa; lakini waliobadilisha dunia waliinuka na kusema: “Bwana, mimi hapa nitume.”

Address

Kisii

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FGCK JOGOO LCA KISII posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share