Chest of Abraham ministry church

Chest of Abraham ministry church Ni vizuri wapedwa kukaa ndani ya yesu kwa maana bila yesu sisi n bure kabsaa

31/08/2023

𝕦𝕟𝕒𝕡𝕠𝕠𝕞𝕓𝕒 𝕦𝕤𝕚𝕤𝕒𝕙𝕒𝕦 𝕜𝕦𝕠𝕞𝕓𝕖𝕒 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕠 𝕜𝕦𝕤𝕦𝕟𝕘𝕦𝕜𝕒,𝕜𝕨𝕒𝕟𝕚 𝕤𝕙𝕖𝕥𝕒𝕟𝕚 𝕒𝕜𝕚𝕜𝕠𝕤𝕒 𝕜𝕜𝕦𝕡𝕒𝕥𝕒 𝕒𝕟𝕒𝕨𝕖𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕡𝕚𝕥𝕚𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕠 𝕚𝕝𝕚 𝕒𝕜𝕦𝕫𝕦𝕚𝕖 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕜𝕒 𝕜𝕨𝕒 𝕙𝕒𝕥𝕚𝕞𝕒 𝕪𝕒𝕜𝕠.𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕞𝕒𝕟𝕖𝕟𝕠 𝕙𝕒𝕪𝕒: 𝕟𝕒𝕗𝕦𝕥𝕒 𝕜𝕚𝕝𝕒 𝕒𝕛𝕖𝕟𝕕𝕒,𝕞𝕚𝕔𝕙𝕠𝕣𝕠,𝕞𝕚𝕡𝕒𝕟𝕘𝕠,𝕞𝕚𝕤𝕙𝕒𝕝𝕖 𝕪𝕒 𝕤𝕙𝕖𝕥𝕒𝕟𝕚 𝕜𝕦𝕙𝕦𝕤𝕦 𝕞𝕒𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕪𝕒𝕟𝕘𝕦,𝕗𝕒𝕞𝕚𝕝𝕚𝕒 𝕪𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕟𝕒 𝕪𝕖𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕪𝕦𝕝𝕖 𝕒𝕟𝕒𝕪𝕖𝕟𝕚𝕙𝕦𝕤𝕦 𝕜𝕨𝕒 𝕛𝕚𝕟𝕒 𝕝𝕒𝕜𝕖 𝕪𝕖𝕤𝕦 𝕜𝕣𝕚𝕤𝕥𝕠. 𝕒𝕞𝕚𝕟𝕒𝕒

Sema amen 🙏 🙌
12/05/2023

Sema amen 🙏 🙌

01/05/2023

God n wewe tu

27/01/2023

naona kuangaika kukiondoka katika maisha yako siku ya Leo sema amen

04/09/2022
12/03/2022

Ubarikiwe na pesa mbaka waliekuronga waongope katika jina la yesu

11/03/2022

Kuna siku watu watakutafuta wakulize umebarikiwa aje

06/03/2022

Kuna wakati mwingine wapendwa unafaa kukaa chini nakuliza ni wapi ulikosea kila wakati uko kanisani ukiombewa naukiomba lakini akuna matumaini. Kuna kitu leo nataka ujue ya kwamba matumaini na msingi wako wakufaulu unazia pale nyumbani unakuta wengi tunapotea bila kujua ata uombewe aje or ujiombee aje bila upendo wa pale nyumbani ni bure kabsaa unapata wengi uwa atutabui wazazi wetu ndungu zetu na wandata wetu n majirani wetu atutaki kujua saa zile umekua ndio unaona wao n wachawi ati uendi uko juu watakumaliza. Chungeni Sana tena Sana ukienda kuinua mikono ukiomba juu bila love bure kabsaaa

Tumuachie Mungu yote hatupange
28/02/2022

Tumuachie Mungu yote hatupange

Natuma maombi ya amani kwenu katika jina la yesu
11/02/2022

Natuma maombi ya amani kwenu katika jina la yesu

Address

Kayatta
Kiritiri

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chest of Abraham ministry church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Chest of Abraham ministry church:

Share