Father Pius Lukhale,,Parish Prist

Father Pius Lukhale,,Parish Prist πŸ†Rev. Father Pius Lukhale,, spread gospel to grow salvation in many Catholic nations,,,man of God in prayer and preaching πŸ’•πŸ’•full of joy and faithπŸ’―πŸ™πŸ™

01/11/2025

Mungu ni mwema?

28/09/2025
25/09/2025

Kwa wale mnashinda ya kusema niweke kwa maombi father,,father niombee nina hiki na kile maisha yangu hayajawa poa,,sijawa vema,sijapata ndoa,,nahangaika sina kazi, sina watoto, sina pa kulala. Yote ni sawa lakini sala yangu na yako ili ipokelewe na mwenyezi Mungu ni vema iwe katika ekaristi takatifu,,, mimi nitafanya vilevile lakini kwanza kuwa safi zingatia sakaramenti za kanisa katoliki,,Amri kuu za kanisa na mwisho hudhuria ibada takatifu,, pata wakati maalumu kumshukuru mungu kibinafsi umfurahishe kwa fedha fungu la kumi na mwisho toani zaka .Mungu awe naweπŸ™πŸ™

Wakati mwingine jifunze kushukuru Mungu kwa kile amekujalia,,ndugu ambao walitamani ndoa na haipo,,,hawajabarikiwa na wa...
19/07/2025

Wakati mwingine jifunze kushukuru Mungu kwa kile amekujalia,,ndugu ambao walitamani ndoa na haipo,,,hawajabarikiwa na watoto wala maisha mazuri. Ndugu Kuna wakati wako mwafaka Mungu atajibu maombi ya kazi unatafuta,,ujira,,ndoa,,upendo uliotoweka
Learn to thank God. Buy time to glorify him for his greatness and blessings come on your way.

17/07/2025

Welcomed: Monaz Monash, Lino Nasambu, Brian Waswa, Wekesa James, Yvonne Shy, Djstano Wanjala, Nadia Dee, Mumbuwani Benson, Otieno Okoth, Mum Tiffah, Haron Kenyatta, Jemo James Wenu, Goeffrey Wekesa, Rianbra Bra, Naomi Simiyu Isaac, John King, Reuben Ndombi, Lynet Nabibia, It'z Walucho, Emmanuel Khaemba, Makhino Elias, Chemkan , Mana Juma, Esther Mulongo, Wesonga Janet, Mum Natasha, Lily Wakhungu, Sarah Nekesa Saenyi, Diana Juma, Clara Munika, Ann Simiyu, Collins Barasa, Legends Abby, Phelixhan Platnumz, Kasili Kasili, Queen Shinga, Krishina Beiby, Michael Mabonga, Lucy Atieno, Elzeba Mandila, Gabriel Sikuku, Aldrix Alvin, Loraine Beiby, Everlyne Musungu, Judith Barasa, Faith Kere, Margy Wanjala, Simiyu Nafula, Violet Muyobo, Rebecca Khayanga

11/06/2025

Karibu tena Baada ya kukamilisha Kipindi cha Pentecost,,,wewe umejifunza nini hasaa,,kama ni kweli huwa unafuatilia Vipindi vya Kanisa πŸ†πŸ†

29/05/2025

Big shout out to my newest top fans! Monaz Monash, Lino Nasambu, Brian Waswa, Yvonne Shy, Djstano Wanjala, Legends Abby, Queen Shinga, Mumbuwani Benson, Otieno Okoth, Mum Tiffah, Haron Kenyatta, Goeffrey Wekesa, Naomi Simiyu Isaac, John King, Christine Makokha, Lynet Nabibia, Makhino Elias, Mana Juma, Esther Mulongo, Wekesa James, Wesonga Janet, Mum Natasha, Lily Wakhungu, Sarah Nekesa Saenyi, Diana Juma, Clara Munika, Ann Simiyu, Collins Barasa, Nadia Dee, Phelixhan Platnumz, Kasili Kasili, Krishina Beiby, Michael Mabonga, Lucy Atieno, Elzeba Mandila, Gabriel Sikuku, Aldrix Alvin, Loraine Beiby, Everlyne Musungu, Judith Barasa, Faith Kere, Margy Wanjala, Simiyu Nafula, Violet Muyobo, Rebecca Khayanga, Rony Mulama, Judith Makuba, Jemo James Wenu, Saidi Joseph, Immaculate Daisy

26/04/2025

God is good?

26/04/2025

Just say a Word to our Nation Pop Francis,,Alikuwa mfano wa Baba Fransisco wa Asisi...Wewe unajua nn kumhusu as we pray for his soul to rest in peace πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈ

May the Lord rest the soul of the Nation,, Pop Francis and may you shine with eternal glory.
26/04/2025

May the Lord rest the soul of the Nation,, Pop Francis and may you shine with eternal glory.

Address

Kimilili

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Father Pius Lukhale,,Parish Prist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share