Nabii Christian churches of E.Africa

Nabii Christian churches of E.Africa We will obey the rules and law. Of the church and the leadership team

Warumi 10:9, 10, 13Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu al...
17/05/2026

Warumi 10:9, 10, 13

Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.

Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, N...
02/05/2026

Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi? Ujapopanda juu k**a tai, Ijapokuwa kioto chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema Bwana.

Obadia 1:3-4

Kila akiriye ya kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, naye ndani ya Mungu.~1 Yohana 4:15
30/04/2026

Kila akiriye ya kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, naye ndani ya Mungu.

~1 Yohana 4:15

26/04/2026

NABII CHRISTIAN CHURCH OF EAST AFRICA AT NAKURU

Yoeli 3:17-18Hivyo ndivyo mtakavyojua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, nikaaye Sayuni, mlima wangu mtakatifu; ndipo...
13/10/2025

Yoeli 3:17-18
Hivyo ndivyo mtakavyojua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu, nikaaye Sayuni, mlima wangu mtakatifu; ndipo Yerusalemu utakapokuwa mtakatifu, wala wageni hawatapita tena ndani yake kamwe.

Tena itakuwa siku ile, ya kwamba milima itadondoza divai tamu, na vilima vitatiririka maziwa, na vijito vyote vya Yuda vitatoa maji tele; na chemchemi itatokea katika nyumba ya Bwana, na kulinywesha bonde la Sh*timu.

09/10/2025

Big shout out to my newest top fans! Benjamine Paade, Masinde Mlongo, Victor Ochieng, Humphreys Gulema, Loveness Kassy, Benjamin Rujiha, Simba Wa Yuda

Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu ...
05/10/2025

Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele; ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.

Yohana 14:16-17

06/08/2025

Big shout out to my newest top fans! Loveness Kassy, Benjamine Paade, Victor Ochieng, Humphreys Gulema, Benjamin Rujiha, Masinde Mlongo, Simba Wa Yuda

14/06/2025

Big shout out to my newest top fans! Loveness Kassy, Humphreys Gulema, Benjamine Paade, Benjamin Rujiha, Masinde Mlongo, Simba Wa Yuda

Address

Kilimani

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nabii Christian churches of E.Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share