Pastor Ezekiel Odero

Pastor Ezekiel Odero Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Ezekiel Odero, Church, Kilifi.

ALHAMISI YA LEO.NAOMBA MWENYEZI MUNGU AKUONDOLEE KILA "ROHOO" AMBAZO ZIMEKUFUNGA KIMAISHA1, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA...
07/08/2025

ALHAMISI YA LEO.NAOMBA MWENYEZI MUNGU AKUONDOLEE KILA "ROHOO" AMBAZO ZIMEKUFUNGA KIMAISHA

1, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA TALAKAA, UPATE NDOA
2, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA UMASIKINI,
3, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA USHIIRIKINA NA UCHAWI.
4, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA MADENI.
5, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA KUKATALIWA.
6, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHOO YA KUTOFAULU.
7, NAOMBA AKUONDOLEE MAROHO YA AIBU.

NAOMBA MWENYEZI MUNGU AKUONDOLEE KILA ROHOO KATIKA JINA LA YESU. ,IMO, TEXT & WHATSAPP LINE +254105774547

Muda fulani baadaye Mungu alimjaribu Ibrahimu. Akamwambia Ibrahimu! Mimi hapa alijibu. Kisha Mungu akasema Mchukue mwana...
20/07/2025

Muda fulani baadaye Mungu alimjaribu Ibrahimu. Akamwambia Ibrahimu! Mimi hapa alijibu. Kisha Mungu akasema Mchukue mwanao mwana wako wa pekee Isaka umpendaye ukaende mpaka eneo la Moria Umtoe dhabihu huko k**a sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia

Waebrania 13:16 : “Msiache kutenda mema na kushiriki mlivyo navyo kwa maana dhabihu za namna hiyo humpendeza Mungu Unapotenda mema kwa jina la Yesu kwa kinywa chako au mikono yako au uwepo wako mwili wako unakuwa dhabihu takatifu iliyo hai ya ibada

leo piga simu nikutapirie na nikutatulie shida zako sasa hivi mwanangu text me on WhatsApp+254105774547

NEW MONTH BLESSINGS/ BARAKA ZA MWEZI MPYA /SMS, WATSAP/ +254105774547WELCOME TO MAY A MONTH OF ANOINTING, MIRACLE AND HE...
08/07/2025

NEW MONTH BLESSINGS/ BARAKA ZA MWEZI MPYA
/SMS, WATSAP/ +254105774547

WELCOME TO MAY A MONTH OF ANOINTING, MIRACLE AND HEALING.
PICK WHAT YOU NEED FROM THE LORD AND WRITE A SHORT MESSAGE ON MY WHATSAPP,IMO, OR WRITE SMS TO +254105774547WITH FAITH SO THAT WE CAN PRAY AND YOU WILL RECEIVE , THIS MARCH YOU WILL RECEIVE YOUR ANNOINTING

FINANCIAL BREAKTHROUGH/ NJIA ZA HELA KUFUNGUKA
BOOST YOUR BUSINESS/ KUINUA BIASHARA
KAZI/JOB
LORDS PEACE/ AMANI YA BWANA
EDUCATION/ MASOMO
MARRIAGE/NDOA
CHILDREN/ WATOTO
HOUSE/ NYUMBA
HEALING/UPONYAJI
BUSINESS/BIASHARA
PROMOTION/ CHEO KATIKA KAZI
YOUR MIRACLE/ MUUJIZA WAKO
Service to the Lord/ Huduma kwa BWANA
HEAVENLY RICHES/ UTAJIRI WA BINGU
YOUR STAR/ NYOTA YAKO

Taja kile unataka Mungu akutendee kwa jina la YESU Kristo. Kisha uniandikie ujumbe kwa Whatsapp +254105774547 NITAKUOMBEA KWA SIMU NA KUPITIA KWA MAOMBI UTAPOKEA, USIWACHE UPAKO HUU UKUPITE MWNANGU, CHUKUA HATUA NIANDIKIE UJUMBE

BWANA YESU ASIFIWE mungu ni mwema na fadhili zake ni za milele alisema mwenyewe kuwa sikio lake sio zito asinisikie maom...
20/06/2025

BWANA YESU ASIFIWE mungu ni mwema na fadhili zake ni za milele alisema mwenyewe kuwa sikio lake sio zito asinisikie maombi na akasema Kwa wale wote mwenye kulemewa na mizigo mizito atawapumzisha jioni ya leo bwana anaenda kuwapumzisha mzigo yenu ya
1.Ndoa
2.sherati
3.umasikini
4.umalaya
5.uchawi
6.kukosa nyota
7.magonjwa
Maana alisema tukibisha tutafunguliwa nami nawabisha Kwa jina la Baba,Mwana na Roho mtakatifu turudishiwe nyota zetu njema ziangaze kote ulimwenguni hata wanapokuona warejee Kwa Bwana yesu
PRAYER LINE, IMO, WHATSAPP AND TEXT LINE+254105774547

Today is 14th do not skip this prayers God is about to expose your enemy in Jesus name 🙏🙏Any Human animal living in your...
14/06/2025

Today is 14th do not skip this prayers God is about to expose your enemy in Jesus name 🙏🙏

Any Human animal living in your house sent from The pit of hell to monitor you, That is Delaying your blessings, Your job opportunities, Your children’s Glory, Delaying your Marriage, Making you to cry every day.
May The Fire 🔥🔥🔥Of God Expose Them All In The Mighty Name of Jesus amen.🙏🙏🔥🔥🔥
WHATSAPP,IMO,TEXT AND PRAYER LINE+254105774547

katika kitabu cha isaya 53:5.bibilia inasema  bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,alichubuliwa kwa maovu yetu,adhabu ya ama...
02/06/2025

katika kitabu cha isaya 53:5.bibilia inasema bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,alichubuliwa kwa maovu yetu,adhabu ya amani yetu ilikua juu yake,na kwakupigwa kwake sisi tumepona.asiye na kazi naapokee kazi siku ya kesho,wacha simu yako ikuletee habari njema,asiye na mtoto naapate kwajina la yesu kristo, aliye mgonjwa naapone usiku huu kwajina la yesu.imani yako ndio itasababisha upate vyote unavyotaka.katika jina lake YESU SOTE TUSEME AMEN
CALL, SMS,IMO AND WHATSAPP+254105774547

"Mwachie Bwana mzigo wako naye; hataacha mwenye haki aangamie kamwe." Ikiwa unakabiliwa na tatizo lolote katika ndoa, au...
23/05/2025

"Mwachie Bwana mzigo wako naye; hataacha mwenye haki aangamie kamwe." Ikiwa unakabiliwa na tatizo lolote katika ndoa, au unahitaji kujenga nyumba nzuri, kubarikiwa na mtoto siku ya leo k**a unamini Mungu anatenda. Sema AMEN!
WHATSAPP,IMO,TEXT AND PRAYER LINE+254105774547

TAFADHALI SOMA 😭😭🙏Tajiri mmoja alichungulia dirishani kwake na kumwona mtu akiokota kitu kwenye p**a lake.Alisema, "Asan...
13/05/2025

TAFADHALI SOMA 😭😭🙏

Tajiri mmoja alichungulia dirishani kwake na kumwona mtu akiokota kitu kwenye p**a lake.

Alisema, "Asante MUNGU mimi sio maskini."

Maskini alitazama huku na kule na kumwona mtu aliye uchi akifanya utovu wa nidhamu mtaani.

Alisema, "Asante MUNGU sina wazimu."

Yule kichaa alitazama mbele akaona gari la wagonjwa likiwa limembeba mgonjwa.

Alisema, "Asante MUNGU mimi sio mgonjwa."

Kisha mtu mgonjwa hospitalini akaona toroli ikipeleka maiti kwenye chumba cha kuhifadhia maiti.

Alisema, "Asante MUNGU mimi sijafa."

Ni mtu aliyekufa tu ambaye hawezi kumshukuru Mungu (Zaburi 115:17).

Kwanini usimshukuru MUNGU leo kwa kukupa nafasi ya kuishi siku nyingine?
Je, ungeshiriki na mtu mwingine, na kuwajulisha kwamba Mungu anawapenda pia?

Sijui kwanini 🥺 watu wanaruka machapisho kuhusu Mungu, lakini k**a wewe sio miongoni mwa wanaomruka Mungu basi sema sala hii🙏

BWANA MUNGU, BABA YANGU,
Leo nina mambo mengi sana ya kukushukuru sana hasa kwa siku hii nzuri.
Nawashukuru wazazi wangu, watoto wangu, ndugu zangu, wanafamilia wangu, wafanyakazi wangu, majirani zangu, wateja wangu, mgavi wangu, wadai wangu, wadeni wangu, marafiki zangu na kwa watu wote wanaovuka njia yangu.
Na kwa sababu kila kitu ni chako,
Ee Bwana nakuomba:
Mungu unibariki.
Mungu uyabariki maisha yangu.
Mungu uibariki afya yangu.
Mungu ubariki moyo wangu
Mungu uibariki nyumba yangu.
Mungu ubariki familia yangu.
Mungu ubariki kazi yangu
Mungu ubariki maisha yangu ya kiroho.
Mungu ubariki fedha zangu.
Mungu ubariki miradi yangu yote.
Mungu unibariki mimi na familia yangu kwa wingi.
“YESU wewe ni nguvu yangu, ninakuhitaji, uniponye na uiponye familia yangu na dunia nzima.

K**a vile mvua inavyonyesha kutoka mbinguni ndivyo Baraka kuu zitakavyokushukia wewe unayeandika AMEN..✍️... kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
CALL, TEXT, IMO AND WHATSAPP NO.+254105774547

I DECREE, WHATEVER CAUSES STAGNATION IN YOUR LIFE IS EXPIRES THIS MOMENT IN JESUS NAME 🙏 🔥ANYWHERE YOUR NAME IS BE MENTI...
07/05/2025

I DECREE, WHATEVER CAUSES STAGNATION IN YOUR LIFE IS EXPIRES THIS MOMENT IN JESUS NAME 🙏 🔥
ANYWHERE YOUR NAME IS BE MENTIONED THIS WEEK, MAY YOU BE REMEMBER FOR GOOD AND FAVOUR IN JESUS NAME.
THIS IS MY ONE AND ONLY OFFICIAL WHATSAPP WHERE YOU CAN SPEAK WITH ME ONE ON ONE @

AM NOT ALWAYS ON FACEBOOK. REACH ME +254105774547
PRAYER LINE WHATSAPP
+254105774547
GOD BLESS YOU

KILIO CHAKO KIMESIKIKA MBINGUNI!!⛅MCHANA wa Leo Kuna mtu unalia sababu ya ndoa yako.. unalia sababu ya kazi .. na Magong...
01/05/2025

KILIO CHAKO KIMESIKIKA MBINGUNI!!
⛅MCHANA wa Leo Kuna mtu unalia sababu ya ndoa yako.. unalia sababu ya kazi .. na Magongwa yanakutesa!!
NASIKIA BWANA AKISEMA KILIO CHAKO KIMESIKIKA MBINGUNI!! Machozi yatakwisha,
Maumivu yataisha,
Milango itafunguliwa,
kwa maana tunamtumikia Mungu aliye hai, k**a unaamini pokea kwa Jina la Yesu Na usilii tena mwambie MUNGU USINIPITE UNAPOZURU WENGINE 🙏🙏🙏
TEXT,CALL,IMO, WHATSAPP AND PRAYER LINE++254105774547

Bwana Yesu asifiwe,,Je ni nn hicho kimekufa kwa maisha yako ,ni ndoa,biashara,kazi,amani,furaha,mifugo,mazao,faida ,wato...
26/04/2025

Bwana Yesu asifiwe,,Je ni nn hicho kimekufa kwa maisha yako ,ni ndoa,biashara,kazi,amani,furaha,mifugo,mazao,faida ,watoto, masomo,ni nn hicho kimekufa nimetumwa k**a nabii kutabiri uhai,kutabiri uzima,kutabiri uhai kwa Jina la Yesu ,pokea uzima,uhai,Nabii Ezekiel akaambiwa tabiri juu ya mifupa mikavu ikapate uhai n nn hicho kimekufa k**a kuna mwenye anatamani mtoto njoo tuombe ,umeota ukiwa jangwani ,ukitembea k**a huna viatu njoo tuombe ,,chochote kimekufa maishani mwako kwenu kwa kazi kwa nchii kwa kijiji kinapokea uzima ,uhai Mungu anakupenda In Jesus name Ezekiel 37:8_12,,usipuuze hu ujumbe ni wako pokea uhai ,, Whatsapp , imo, text, and prayer line+254105774547...njoo tuombe ukihitaji ushauri, uko na na ndoto wahitaji u TAFSIRI karibu ,God bless you.

Ninatia wakfu afya zenyu,magonjwa yapate kushindwa katika jina la Yesu,,wachawi waliokuzingira wapate kuondolewa Ili upa...
23/04/2025

Ninatia wakfu afya zenyu,magonjwa yapate kushindwa katika jina la Yesu,,wachawi waliokuzingira wapate kuondolewa Ili upate ufanisi,,Ninatia wakfu ndoa zenyu. Wewe umeangaika miaka mingi ndoa yako haendi sambamba kabisa pokea muujiza wako Yawezekana umejaribu kuoa ama kuoleka lakini imekuwa vigumu pata ukombozi. Wewe uliyeitwa tasa katika ndoa pokea muujiza wako sasa katika Jina la yesu.
Walio na prayer requests/ Wanaohitaji maombi niandikie message, piga simu, Whatsapp and Imo +254105774547 NA MUNGU ATATENDA.

Address

Kilifi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Ezekiel Odero posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category