African Divine Church adc waithaka region

African Divine Church  adc waithaka region Nyote mwakaribishwa katika ibaada ya waithaka region ..karibu sana..

27/06/2022

Jumapili hii tunakarisha wajumbe kitaeleweka

24/11/2021

Kumbukumbu la Torati 33:29
[29]U heri, Israeli.
Ni nani aliye k**a wewe, taifa lililookolewa na BWANA!
Ndiye ngao ya msaada wako,
Na upanga wa utukufu wako;
Na adui zako watajitiisha chini yako,
Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.

08/09/2021

Zaburi 101:6-8
[6]Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi,
Hao wakae nami.
Yeye aendaye katika njia kamilifu,
Ndiye atakayenitumikia.
[7]Hatakaa ndani ya nyumba yangu
Mtu atendaye hila.
Asemaye uongo hatathibitika
Mbele ya macho yangu.
[8]Asubuhi hata asubuhi nitawaharibu
Wabaya wote wa nchi.
Niwatenge wote watendao uovu
Na mji wa BWANA.

06/09/2021

Yeremia 4:14-18
[14]Ee Yerusalemu, jioshe moyo wako usiwe na uovu, upate kuokoka. Mawazo yako mabaya yatakaa ndani yako hata lini?
[15]Maana sauti yatangaza habari toka Dani, yahubiri uovu toka vilima vya Efraimu;
[16]Wapasheni mataifa habari; angalieni, hubirini juu ya Yerusalemu, ya kwamba walinzi wanatoka katika nchi ya mbali, wanatoa sauti yao juu ya miji ya Yuda.
[17]Kama watu walindao shamba, wameuzunguka wauhusuru; kwa sababu ameniasi mimi, asema BWANA.
[18]Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikilia hata moyo wako.

03/09/2021

1 Petro 2:4
[4]Mmwendee yeye, jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye heshima.

05/08/2021

Isaiah 43:1
[1]But now thus saith the LORD that created thee, O Jacob, and he that formed thee, O Israel, Fear not: for I have redeemed thee, I have called thee by thy name; thou art mine.
Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.

03/07/2021

Karibuni ndani mwa waithaka assembly kesho SAA 930 ibaada niya mamakijiji.. Bwana wa amani awe nawe unapojiandaa..

03/07/2021

Mithali 18:10
[10]Jina la BWANA ni ngome imara;
Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.

30/06/2021

Bwana yesu asifiwe

Address

Kikuyu

Opening Hours

Saturday 04:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when African Divine Church adc waithaka region posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share