15/07/2026
Hii ni wiki ya mwanza mpya, kwanzia hii wiki utafaulu, utafanikiwa, Utabarikiwa na utaweza kusave pesa kwa Bank katika jina la Yesu Kristo, Ameni.
Pokea Kibali, Pokea Amani na Furaha maishani mwako.
Apostle Bishop lsaiah