27/02/2025
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUN.........
Mazishi ya Ndugu yetu Shwaib Issa kwenye Makaburi ya Waislamu Kendu Bay (26/2/2025.
Namuomba Allaah Subhanna Wa Taala Amghufurie na Amrehemu pamoja na jamaa zetu wote waliotangulia mbele. Yaa Allaah Ijalie Kaburi ya Waislamu liwe Bustani miongoni mwa Mabustani za Peponi 🤲