23/08/2026
KARIBU KATIKA IBADA YA KISWAHILI | 23.8.2026
Bwana Asifiwe! Tunawakaribisha wote katika Ibada hii ya Kiswahili, baraka tele mnapopanga kuhudhuria ibada hii, Mungu awabariki na awalinde.
Kwa Matoleo na Fungu la Kumi:
M-Pesa Paybill no. 523000
ACCOUNT NUMBER 303030
Co-op Bank PAYBILL 400200
Account no. 01128103600500
Hatumiliki haki zozote za mziki zilizo chezwa katika huu mkondo wa moja kwa moja. Kwa Maoni yoyote zaidi wasiliana nasi kwa barua pepe; [email protected]
Tunawatakia Baraka Tele na Afya njema.