30/03/2022
Praise God...Hope each and everyone of you is fine...
Kamati andalizi pamoja na kanisa la Mwangaza PAG assembly wanafuraha kukualika kwenye harambee itakayofanyika jumapili hii ya tarehe 3/4/2022..harambee iyo itafanyika kwa minajili yakununu a plot...Mungu akubariki unapojiandaa kutusaidia....MPESA NO 0713294531