Nyumba ya ufufuo na uzima mwingi of MRLC

Nyumba ya ufufuo na uzima mwingi of MRLC You can transform your life style by hearing the word of GOD

UTUKUFU WANAANGU👋🏼01/05/2026 uwe mwezi wa Ushindi na Upenyo kwako, na haya maneno yakawe k**a vile yasemavyo kwako wewe🫵...
01/05/2026

UTUKUFU WANAANGU👋🏼

01/05/2026 uwe mwezi wa Ushindi na Upenyo kwako, na haya maneno yakawe k**a vile yasemavyo kwako wewe🫵🏽 unaeyasoma

📖Mungu na akupe ya umande wa mbingu, Na ya manono ya nchi, Na wingi wa nafaka na mvinyo.
Mataifa na wakutumikie Na makabila wakusujudie, Uwe bwana wa ndugu zako, Na wana wa mama yako na wakusujudie. Atakayekulaani alaaniwe, Na atakayekubariki abarikiwe.
Mwanzo 27:28-29

Address

Kakamega Town
Kakamega

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyumba ya ufufuo na uzima mwingi of MRLC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Nyumba ya ufufuo na uzima mwingi of MRLC:

Shortcuts

Share