Evangelist Daniel Festus

Evangelist Daniel Festus Only to share the Gospel of Jesus Christ

20/10/2025

Jesus loves you

09/06/2023

𝗧𝗔𝗕𝗜𝗔 𝟭𝟲 𝗠𝗕𝗔𝗬𝗔 𝗭𝗔 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗥𝗜𝗦𝗧𝗢.

❌1. Wanaenda kazini mapema lakini wanachelewa kufika kanisani.

❌2. Wanamsihi bosi wao kwa msamaha wanapokosea lakini wanatishia kuondoka kanisani kila kunapokuwa na kutoelewana.

❌3. Wanafanya bidii ili wapandishwe cheo kazini lakini wanaitendea kazi ya Mungu ulegevu.

❌4. Wanalipa haki zao zote mahali pa kazi lakini wanakataa kutoa zaka na sadaka kanisani.

❌5. Wananunua vitu vya gharama hata kwa mabosi wao ili wapate kibali lakini hawawezi hata kumnunulia katekista/ Padri/mchungaji wao muda wa maongezi.

❌6. Wakati hawaendi ofisini, wanachukua kibali kutoka kwa wakuu wao wa kazi; lakini wasipo onekana Kanisani bila taarifa wanataka wafuatwe hadi nyumbani na kujuliwa hali Viongozi wa Kanisa.

❌7. Wanaogopa na kumheshimu mkuu wao kuliko Padre wao na hata wakati mwingine zaidi ya Mungu.

❌8. Wanapokuwa wagonjwa wanafanikiwa kwenda kazini lakini wakiwa wagonjwa siku ya ibada hawawezi kufika kanisani.

❌9. Wanachukulia maonyo za viongozi wao kwa uzito lakini wanashughulikia karipio la KIMUNGU kwa dharau.

❌10. Wanawavumilia wenzao mahali pa kazi lakini hawawezi kuwavumilia ndugu zao wa damu.

❌11. Wanazima simu zao mahali pa kazi, lakini hutumia simu ovyo wakiwa Kanisani.

❌12. Wanaweza kufanya kazi ya ziada ofisini lakini wakaudhika na mchungaji ikiwa amepitiliza kidogo muda wa ibada kwa wakati uliowekwa.

❌13 Wanavaa vizuri sana wanapotafuta kazi au kwenda ofisini, lakini wengine hata hawajali pia huvaa nguo zisizo na heshima pindi wanapokuja kanisani.

❌14 Wanafanya mahali pao pa kazi usafi, lakini wakitangaziwa usafi katika nyumba ya Mungu hawaonekani.

❌15 Wanajenga majumba ya nyumba na kuipamba kwa rasilimali zao. Lakini hawajali chochote kinachokosekana katika nyumba ya Mungu.

❌16 Wanamtii bosi wao lakini hawatii neno la Mungu.

Ikiwa una kosa mojawapo ya haya👆👆 Omba neema kwa Mungu udumu katika hayo mema na uishi maisha yenye utimilifu kwa ajili yake Yeye pe

06/06/2023

*Mathayo 22:37-40*

Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako k**a nafsi yako. Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii.

27/04/2023

Hello friends. In love you all

03/04/2021
03/04/2021

Zaburi 23 1
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

Zaburi 23 6
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

25/09/2020

*HUNDRED AND SEVENTY-EIGHT*

*HOW PRAYER CAN BE EFFECTIVE TO CALL FOR HEAVENLY INTERVENTION (PART NINE)*
1.Praying with your Spirit Sense and Supervision in Power (Matthew 4:1)

2.Pray from the Depth of your Heart in Spirit and Submissive (Matt 5:8)

3.Keep God the Priority and Purpose of your Prayers always (Matthew 6:9)

4.Praying in the Right Interpretation of the Scriptures in Spirit (Dan 10:21)

5.Praying in the Strength and Support of the Kingdom of God (Matt 6:33)

06/09/2020

*HUNDRED* *N* *FIFTY-SEVEN= *157*

*CHARACTERISTICS* *OF* *PRAYER*
*PART* *FOUR* *(4)*
1.Prayer is irreplaceable Virtue in the Life of a Christian (Philippians 4:6)

2.Prayer is the Food of Spirit and Fuels of Anointing (Luke 3:21-22)

3.Prayer is the Vessel of Victory to believers in Christ Jesus (1 Chronicles 29:11)

4.Prayer is the Key to open Heavenly and Earthly door (Matthew 16:19)

5.Prayer is the Center of Revival, Renewing, Rekindling and Retreat (Hosea 6:1-3)

20/08/2020

May God blessed your night. Receive your blessings tonight.

Address

Danmused48@gmail. Com
Kakamega

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evangelist Daniel Festus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Evangelist Daniel Festus:

Share