church of Christ in Africa, Kakamega town church

church of Christ in Africa, Kakamega town church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from church of Christ in Africa, Kakamega town church, Religious organisation, 501, Kakamega.

09/01/2026

Faida 7 za kuwa mtu wa maombi

1:Kujenga mahusiano mazuri na Mungu

Maombi ni mawasiliano kati ya mtu na Mungu

Kadri unavyokuwa mtu wa maombi ndivyo ambavyo unatengeneza mahusiano mazuri na Mungu sababu kila muda unapoomba unawasiliana naye na kuzidi kuwa karibu naye
Zaburi 105:4

2:Maombi hubadili tabia

Unavyoongea na Mungu mara kwa mara utaanza kuona kuna tabia zinabadilika sababu unakuwa na mahusiano mazuri na Mungu ,Inakuwa ni rahisi Roho Mtakatifu kusema na wewe na ukamsikia

Hivyo tabia inapojitokeza ambayo sio nzuri Roho Mtakatifu hukuonya mapema na wewe kujirekebisha haraka sababu unaijua sauti ya Mungu

3:Kukua Kiroho

Maisha ya kuomba huchaji ukiroho wetu kila siku ,Unapokuwa mwamini na huna maombi ni sawa na simu ambayo haina chaji

Hutaweza kufanya kazi za kiroho unakuwa umekufa ,Mungu ni Roho nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Sababu Mungu ni Roho na wewe unatakiwa maisha yako ya rohoni yawe vizuri ili uweze kumsikia vizuri
Yohana 4:24

4:Maombi hukupa nguvu na kukuepusha na majaribu

Unapokuwa mtu wa maombi ni rahisi kutambua kuwa jambo fulani ni jaribu kwako na ukaweza kuliepuka sababu
Taa yako ya rohoni inakuwa inawaka
Na Mungu anasema na wewe unasikia

Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu ,Mathayo 26:41

5:Maombi hukufanya kutembea katika mapenzi ya Mungu na kukubali kutembea katika mapenzi hayo

Unapokuwa mtu maombi ,Mungu husema na wewe na kukusaidia kutembea katika mapenzi yake

Unifundishe kuyatenda mapenzi yako,
Kwa maana ndiwe Mungu wangu;
Roho yako mwema aniongoze kwenye nchi sawa,Zaburi 143:10

6:Maombi huondoa woga na kukupa kujiamini kwa sababu unatambua kuwa hakuna jambo lolote gumu kwake lolote napaswa kuomba

Hupaswi kuwa na woga juu ya maisha bali lolote lipeleke kwa Mungu

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.Wafilipi 4:6

7:Maombi ni namna pekee ya kuwasilisha mahitaji yetu mbele za Mungu

Mwambie Mungu nini kinakusibu nini unahitaji,Usikae na mambo yanakulemea na una Mungu ,Mtwishe yote naye atafanya kwako , Hicho ambacho kinakuogopesha mwambie Mungu naye atafanya

Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa;
Kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa.
Mathayo 7:7-8

Kila mwezi kwa mwaka 2026 tunafunga siku 7 kila tar 1 hadi 7

Kujiunga na programu yetu tuma neno MAOMBI kwenda Whatsp 0737172299

Karibu sana

25/12/2025

*TODAY'S SERMON Kakamega Church service,
*4th. SUNDAY
*24.DEC.2025

*THEME: Birth of Jesus Christ

*Text: Sefania 3:16-19

*Speaker: Arch. Richard mboya

*Thank you for attending today's service, Mungu*
*Awabariki sana*
*Amina🙏*

07/12/2025

*TODAY'S SERMON KAKAMEGA DIOCESE SERVICE,
*1st. SUNDAY
*07.Dec.2025

*THEME: You are sleeping and yet you were called to work for the Lord*

*Text: Yona 1:1-7

*Speaker: Bishop in charge, Emmanuel Ogot

*Thank you for attending today's service, Mungu
*Awabariki sana
*Amina🙏

Women Empowerment
11/11/2025

Women Empowerment

02/11/2025

*TODAY'S SERMON Kakamega Church service,*
*1st. SUNDAY*
*02.Nov.2025*

*THEME: Come to God without delay*

*Text: Act 9:36-40*

*Speaker: Ev Oudiah*

*Thank you for attending today's service, Mungu
*Awabariki sana
*Amina🙏

28/10/2025

*TODAY'S SERMON Kakamega Church service,*
*4th. SUNDAY*
*26.Oct.2025*

*THEME: Je !Mwataka kuondoka mkaniaje?

*Text: John 6:66-71

*Speaker: Bishop Emmanuel

*Thank you for attending today's service, Mungu
*Awabariki sana
*Amina🙏

05/10/2025

*TODAY'S SERMON Kakamega Church service,
*1st. SUNDAY
*05.Oct.2025

*THEME: Building the Church

*Text: Waamusi 5:1-8 Mathayo 16:13-18,

*Speaker: Bro. Benard Osumo

*Thank you for attending today's service, Mungu
*Awabariki sana
*Amina🙏

28/09/2025

*TODAY'S SERMON Kakamega Church service
*4th. SUNDAY
*28.Sept.2025

*THEME: Hatuyatambui wala hatufahamu maneno ya mungu

*Text: Zaburi 92:1-10, Mark 13:28, Proverb 13:1-8

*Speaker: L/r Gedion Ouma

*Thank you for attending today's service, Mungu
*Awabariki sana
*Amina🙏

21/09/2025

*TODAY'S SERMON Kakamega Area service,
*3rd. SUNDAY
*21.Sept.2025

*THEME: purifying your life

*Text: 2nd king 2:19

*Speaker: Ev. Melvin Oudiah

*Thank you for attending today's service, Mungu
*Awabariki sana
*Amina🙏

Address

501
Kakamega

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when church of Christ in Africa, Kakamega town church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share