KAG Church - Maili Nne - Eldoret

KAG Church - Maili Nne - Eldoret Kenya Assemblies of God is part of the Africa Assemblies of God Alliance & World Assemblies of God Fellowship.

It has grown to 37 districts, 501 sections & 3600 churches. KAG Church Maili Nne Eldoret, belongs to this family.

18/03/2021
WE SERVE A FAITHFUL GOD🙏
22/11/2020

WE SERVE A FAITHFUL GOD🙏

Tunahuzini k**a jamii kwa kumpoteza baba wetu mzee Karanja usiku wa Jana mungu  ailaze roho yake  mahali pema peponi ......
14/10/2020

Tunahuzini k**a jamii kwa kumpoteza baba wetu mzee Karanja usiku wa Jana mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ...R.I.P msaidizi

There is joy in the house of the Lord
27/09/2020

There is joy in the house of the Lord

Empowering new generation in Christ
14/09/2020

Empowering new generation in Christ

1 Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Zaburi 91:13 Maana Yeye atakuokoa na mtego wa...
31/08/2020

1 Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
Zaburi 91:1

3 Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo.
Zaburi 91:3

LORD WE SURRENDER ALL TO YOU
24/08/2020

LORD WE SURRENDER ALL TO YOU

22/06/2020

Isaya:33.14
Wenye dhambi walio katika Sayuni wanaogopa; tetemeko limewashika wasiomcha Mungu; Ni nani kwetu sisi awezaye kukaa na moto ulao; ni nani kwetu sisi awezaye kukaa na moto uteketezao milele?
Isaya:33.15
Ni yeye aendaye kwa haki, anenaye maneno ya adili; ni yeye anayedharau faida ipatikanayo kwa dhuluma; akung'utaye mikono yake asipokee rushwa; azibaye masikio yake asisikie habari za damu; afumbaye macho yake asitazame uovu.
Isaya:33.16
Huyu ndiye atakayekaa juu; majabali ni ngome yake; atapewa chakula chake; maji yake hayatakoma.

20/06/2020

Zaburi:48.8
K**a tulivyosikia, ndivyo tulivyoona, Katika mji wa Bwana wa majeshi. Mji wa Mungu wetu; Mungu ataufanya imara hata milele.
Zaburi:48.9
Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, Katikati ya hekalu lako.
Zaburi:48.10
K**a lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia. Mkono wako wa kuume umejaa haki;

19/06/2020

Zaburi:31.5
Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
Zaburi:31.6
Nawachukia wao washikao yasiyofaa yenye uongo; Bali mimi namtumaini Bwana.

Tunamshukuru Mungu kwa watumishi wake
15/06/2020

Tunamshukuru Mungu kwa watumishi wake

Address

Maili Nne
Eldoret

Telephone

+254758562280

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAG Church - Maili Nne - Eldoret posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share