Alvin Wafula

Alvin Wafula I came from Bungoma county,sirisia Division, Namwela location,Ng'oli village.

05/08/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Afam Fidelis Ubaka, Yusuf Selector

Licha ya kuoga na kujipuliza marashi, Baadhi ya watu bado hukumbwa na hali ya kutokwa na harufu mbaya mwilini:Nini haswa...
05/05/2026

Licha ya kuoga na kujipuliza marashi, Baadhi ya watu bado hukumbwa na hali ya kutokwa na harufu mbaya mwilini:Nini haswa kinachosababisha hili?

Waefeso 5:2 Muishi maisha ya upendo k**a Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu.

Yosefu alimkataa mke wa Potifa — akapoteza kazi lakini akahifadhi hatima yake.   Watu wengi leo wanakubali ‘kula tendo’ ...
05/05/2026

Yosefu alimkataa mke wa Potifa — akapoteza kazi lakini akahifadhi hatima yake.

Watu wengi leo wanakubali ‘kula tendo’ ili biashara iende, au kulala kwa boss ili apandishwe cheo.

Lakini ukweli ni huu: Ukiuza utakatifu wako, umenunua umasikini wa milele.

Mapenzi halisi hayakupi faida ya haraka. Yanakujenga.

Biashara halali haikupandishi leo, lakini haikushushi kesho.

Mhubiri 12:1 — _“Mkumbuke Muumba wako…”_ hata kwenye biashara, hata kwenye mapenzi.

Umejaribiwa kuchagua kati ya pesa na utakatifu? Tushirikishe 👇 Au comment ‘MUNGU KWANZA’ k**a umesimama na ukweli.

03/05/2026

congratulations �

Address

Namwela
Bungoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alvin Wafula posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Alvin Wafula:

Shortcuts

Share