18/09/2025
🏆🏆🏆
😭😭Mimba hurukwa😭😭 lakini mazee haikuwangi fiti saa zingine😞 boi unaenda unapata mrembo, unamkatia, anaingia box yako, unaitisha kafriendly match😒 dem ni roho safi anakubali😢anakuja unachezesha mechi Hadi unaanza kuskia wageni wakikuja😒wewe at the back of your mind unajua hutaki mtoi, 😒 unakaaaza! Unashindwa kuvumilia unaachilia wageni Kwa shamba la ngano🤣🤣 (sijui nacheka Nini)😒 wageni wanaingia mle wanafanya mambo Yao kunatokea miujiza😢 and she gets pregnant..Dem yawa alikupenda na roho yake yote but wewe hukuwa serious, ulikuwa tu unataka kutandika hiyo kitu, unoe machine, uchange oil, umalizane na kutu.😒 Dem alikuwa hata anakupost kila siku status na profile 😢 juu ya mapenzi aki😒
Haikuwangi poa..🙆😢 ukiachanisha huyo dem hivo mazee haikuwangi fiti😢 ebu jiulizeee?? Wewe unaeza taka sistako afanyiwe kitu ka hiyo? 🤔😏Unaeza taka mtoto wako afanyiwe hivo?🤔🙆 Sema hapana📤 bro penda dem unataka, na unaeza taka isonge Hadi marriage..❤️🙌 usiende kuchezea mtu, 😞 we have a lot of broken hearts out here mazee, and it's not good😏 k**a ni kunoa Kisu unataka kunoa, sema akikubali sawa, akikataaa katafte mwingine, ila usimdanganye msichana WA wenyewe unampenda na Kwa kweli wewe unajua clearly chenye unataka😏🤨Ladies alooooooh!😁👍
Lakini pia nyinyi ladies🤣🤣 mnakuanga na ujinga ingine sijui ni ya kuzaliwa ama ni ya ukenya🤣🙆 mtu k**a mimi nakuja, najitetea then nakwambia nataka kuingia karìma mūtiume, 🤣👍 wewe unakuja, naingia k**a expert Hadi unacatch feelings 🤣🤣 unaanza tumapenzi🙆in that situation ...ukipata Ile kitu jilaumu🤣🤔
Tena ukiombwa vizuri peana jooh na umake sure huyo jamaa amecondomise. Sasa unaringia kwani utabeleka mbinguni😋😋
For more jokes and stories follow me