St Anthony Kaptebengwo

St Anthony Kaptebengwo our church is 1km from kabiangek toward kapsir road.i create this page to help christian to know wh

Night PrayersBless us with rest tonight Jesus and give us a good night’s sleep. Forgive us for the things we did today t...
29/05/2023

Night Prayers
Bless us with rest tonight Jesus and give us a good night’s sleep. Forgive us for the things we did today that did not honor you. Thank you for loving us so much and that you know us through and through. We need your help every day, and we thank you for the strength you give and for helping us know that with you, even hard things are possible. Bless our family and our home, and keep us safe through the night. May your angels guard us and watch over us, just like you promised in Jesus name we pray.
Goodnight Beloved.

11/04/2023

MASOMO YA MISA, APRILI 12, 2023
OCTAVA YA PASAKA, JUMATANO

SOMO 1
Mdo 3:1-10

Petro na Yohane walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa.

Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu. Mtu huyu akiwaona Petro na Yohane wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. Na Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohane, akasema, Tutazame sisi. Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao. Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende. Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu. Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.

Watu wote wakamwona akienda, akimsifu Mungu. Wakamtambua, ya kuwa yeye ndiye aliyekuwa akiketi na kuomba sadaka penye mlango Mzuri wa hekalu; wakajaa ushangao wakastaajabia mambo yale yaliyompata.

Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.

WIMBO WA KATIKATI
Zab 105:1-4, 6-9

(K)Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Au Aleluya

Mshukuruni Bwana,liitieni jina,
Wajulisheni watu matendo yake.
Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi,
Zitafakarini ajabu zake zote. (K)

Jisifuni kwa jina lake takatifu,
Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
Mtakeni Bwana na nguvu zake,
Utafuteni uso wake sikuzote. (K)

Enyi wazao wa Ibrahimu, mtumishi wake;
Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Yeye, Bwana, ndiye Mungu wetu;
Duniani mwote mna hukumu zake. (K)

Analikumbuka agano lake milele;
Neno lile aliloviamuru vizazi elfu.
Agano alilofanya na Ibrahimu,
Na uapo wake kwa Isaka. (K)

SHANGILIO
Zab. 118:24

Aleluya, aleluya,
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Aleluya.

INJILI
Lk 24:14-35

Siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa

wishing you  Kapsir Form 4 success
03/04/2021

wishing you Kapsir Form 4 success

01/09/2020

On 2/9/2020 there will be youth mass at st john Mary vianny chemelet,,,starting at10:00 am ,,,welcome all.....

23/06/2020

Xaxeni??

Address

Bomet

Telephone

+254745986300

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St Anthony Kaptebengwo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share