19/08/2022
Hivi account ire ya awali ya fb uliifunga mana sipati habari mupya kupitia account ile
Hivi account ire ya awali ya fb uliifunga mana sipati habari mupya kupitia account ile
Ashery Naftary
Facebook Accounts zangu zote zimekuwa disabled . Ile ya Watu laki 3 na 49 elfu Group la ndoa kuna Post nilituma ya ndoa ambayo imegusa wengi cha kushangaza kuna third party aliye au walio report Post hiyo nikawekewa restrictions kwa siku 30 . Lawyer wangu akapambana maana hiyo Post haikuwa na tatizo lo lote . Lakini wakajitokeza tena wengine hao wa awali nadhani ni kundi la watu liko Tanzania πΉπΏ au Kenya π°πͺ kati ya nchi hizo mbili ila hasa Tanzania waka report Post nyingine tena kwenye Facebook Account yangu yenye Followers 49,899 restrictions zikaongezwa jumlisha tishio la kufungiwa . Lawyer akatoa pingqmizi restrictions ikapunguzwa masaa 24 hiyo ilikuwa July 17 kuelekea July 18 . Na ukiwekewa restrictions huwezi kufanya lo lote kwenye Facebook Accounts zako zote . Nikiwa katika kusubiri mara hao hao third party waka report Post ambayo niliituma mwaka 2019 katika Page yangu yenye Followers 10,763 TENDO NDOA , sijakaa sawa restrictions nyingine kutoka kwenye Page YESU ANAWEZA YOTE yenye Followers 20,978 ndipo Facebook Accounts zangu zote zikawa disabled uki search huwezi kuzipata maana zimeondolewa kabisa . Bado pambano la kuzirudisha linaendelea ndio ujue roho ya Kaini ya wivu ipo duniani inatenda kazi