04/12/2023
TUMAINI JIPYA
Ni juma jipya linaloleta kwetu fursa na tumaini jipya kuyatengeneza yaliyo mbele yetu.
Kwa kuwa hatuwezi kurudi nyuma na kubadili yaliyoyokwisha kupita, tunapewa fursa ingine kutengeneza hatma mpya, na kutimiza au kutengeneza malengo mapya.
Kumbuke ya kwamba hii ni siku njema aliyoifanya Mungu kwa ajili yako. Furahi na Shangilia kwa kuwa UNAYO NAFASI YA KUTENGENEZA MAZURI UPENDAVYO