23/05/2017
Emmanuel wapya,, Nyimbo mpya,, na # karibuni nyote jumapili ya tar 28.may kushuhudia upako ukishushwa na watoto wa Emmanuel,, tutahudum ibada zote ya 1na 2 kwa na njoo ubarikiwe na huduma zetu
"Amen"