Ev. OSCAR KYARA Munisi

Ev. OSCAR KYARA Munisi Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Ev. OSCAR KYARA Munisi, Église évangélique, Democratic Republic of the.

https://www.youtube.com/live/URFxfNvOWEY?si=43xS1lCDdxOzdLQP  *MBONA MMEMUACHA MTU HUYO?MWITENI, ALE CHAKULA K*t. 2:20*E...
22/11/2024

https://www.youtube.com/live/URFxfNvOWEY?si=43xS1lCDdxOzdLQP

*MBONA MMEMUACHA MTU HUYO?MWITENI, ALE CHAKULA K*t. 2:20*
Ev. Oscar Munis

Karibu nyote nyumbani mwa Bwana tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.Toa sadaka yako kupitia MBEZI BEACH LUTHERAN HUDUMA". MAENDELEO BANK 014154966021, ...

01/11/2024

01/11 Ndio siku Musa aliiingia kwa kukamilisha kuwashinda wakwamishaji katika njia yao na ni siku aliyowatangazia AHADI MPYA ZA MUNGU ISRAEL kwamba watamiliki na wataongezeka zaidi

Ni maombi yangu kwa BWANA
BWANA akupe kuwashinda wakukwamishao.

BWANA akupe mwezi huu uwe mwezi wa kutoka eneo ulilipo na ulilokaa kwa muda mrefu na kwenda viwango vingine.

Uwe ni mwezi wa maongezeko katika Mifungo na maombi sanq, Kusoma Neno sana, Maarifa, Uchumi sana, Uzao sana, na afya sana, na kila ufanyacho katika BWANA.

Kumb. 1:1-10

Kwa lugha nyingine MTUMISHI ni mtenda kazi, naMUNGU ndiye ANAVYO VILIVYO VYA KWAKO.Mungu si ATHUMANI auMungu si MJOMBA w...
13/10/2024

Kwa lugha nyingine MTUMISHI ni mtenda kazi, na
MUNGU ndiye ANAVYO VILIVYO VYA KWAKO.
Mungu si ATHUMANI au
Mungu si MJOMBA wao

Mtumishi hana mbingu labda ya kule ukweni dodoma 😂

Ofcz, nawashukuru sana kwa wisheZ zenu za mfanano wa siku yangu ya kuzaliwa.
Mbarikiwe sana.
NB:

And God called the light Day, and the darkness he called Night.☀️And the evening and the morning were the first day. Gen...
10/10/2024

And God called the light Day, and the darkness he called Night.☀️And the evening and the morning were the first day. Gen. 1:4✨

10/09/2024

Abil alitenda vizur ndg yake Kain akamuulia vichakani.
Kristo Yesu naye alitenda vyema wakamfungulia jambazi BARABA wakamua asiyeijua wala kuitenda dhambi.

Kila anayepangiwa njama za kuuwawa kwake kwa siri ni MTENDA MEMA. Na wanaomuua ni watenda mabaya.

Mungu alimuuliza KAINI kwani ukitenda VYEMA hutapata kibali??

HUWEZI UA MEMA YA MTU KWA UPANGA AU SUMU.
Unaweza kumpoteza na kumuua mtu kivyovyote lakini WEMA WAKE hutaweza kuua unabakia kuwa alama na ukumbusho zaidi ya alipokua hai.

Hakuna mwenye ruhusa ya kuua mtu mwingine hata k**a amekosea ndo maana sheria ya MUNGU ya tano ni USIUE.

Unapoondoa kitu{uhai} cha mtu ambacho wewe hukumpa manake unataka kumgusa MUNGU aliyekiweka na hutakaa salama.

Mungu Ibariki TANZANIA. Mungu Irehemu ardhi yetu TANZANIA.🙏

03/09/2024

Shetan mbaya san amegeuza wanadam kuwa majini unavuta sh**ha, bangi,sigara moshi unatokea puani na mdomoni asa binadam gani huyo😔

01/09/2024

Ukitoroka ibadani fahamu kabisa unamfundisha mwanao KUMTOROKA MUNGU.

26/08/2024

Leo ni jumatatu unaanza wika jipya, mojawapo ya ishara kuwa Mungu anakupenda ni PUMZI aliyokupa.
Usisahau kabisa Mungu anakupenda.

16/08/2024

Mwalimu wa k**e akivaa suruali ubaoni shuleni akifundisha =AJABU
Mwalimu wa k**e{Mchungaji,Praise team} akiva suruali madhabahuni akifundisha =KAWAIDA

06/08/2024

Ukiingia kwenye ofisi,duka lolote la kuvua viatu ili kununua bidhaa tanguliza damu ya Yesu kwenye viatu na nyayo zako.

06/08/2024

"Usije kanisani mikono mitupu".
K**a issue ni mikono mitupu nenda na Yesu mkononi.

Adresse

Democratic Republic Of The

Téléphone

+255658073301

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Ev. OSCAR KYARA Munisi publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager