8ème CEPAC Golgotha Ndendere TV

8ème CEPAC Golgotha Ndendere TV l'église 8ème CEPAC GOLGOTHA NDENDERE est une église Pentecôtiste qui se situe en RDC, dans la province du Sud-Kivu commune d'Ibanda, route Elekat

✨🙏 Bon début de semaine et bon début du mois de février ! 🙏✨Que la grâce de Dieu vous accompagne 🤍, que Sa paix rempliss...
02/02/2026

✨🙏 Bon début de semaine et bon début du mois de février ! 🙏✨
Que la grâce de Dieu vous accompagne 🤍, que Sa paix remplisse vos cœurs 🕊️ et que ce nouveau mois soit un mois de bénédictions, de progrès et de victoire 🌿🔥
À tous nos chrétiens de l’église et à ceux qui nous suivent partout dans le monde 🌍, nous vous souhaitons une semaine remplie de la présence du Seigneur ✝️
📖 « Confie à l’Éternel tes œuvres, et tes projets réussiront »
(Proverbes 16:3)DeSemaine ✨ 🌙 🙏 🕊️ ?? ✝️ 📸.

Ibada ya tarehe 04/05/2025Orateur : Rév WATUTA BONIFACE usomi : YOHANA20:19-29              WAEBRANIA5:12-16            ...
04/05/2025

Ibada ya tarehe 04/05/2025

Orateur : Rév WATUTA BONIFACE

usomi : YOHANA20:19-29
WAEBRANIA5:12-16



Somo: KUTUNZA NYOTA AMBAYO MUNGU ALITIYA NDANI YAKO

kwa kutaka kusikiya Ibada hii kwa urefu fungula link hii Chini 👇
https://www.facebook.com/100077350956292/videos/700549749178561/?app=fbl

Piya uji Subscribe kwa mitandao yetu, like na utumiye wengine ili nao wabarikiwe.

Unaweza piya ungana nasi kwa kuboresha huduma na sadaka , changizo ao kwa kutaka musaada wa maombi ama mashauri ; wasiliana nasi kwa njiya zifuatazo:

📱:+243997716295 (airtel money)
🏦:5579 (COOPEC CAHI RDC)
📩: [email protected]

Asante na Mungu akubariki.

Tarehe 26/01/2025Orateur: Rév. Past. Boniface WATUTAUsomi : 2 WAFALME 4 :1-7             YOHANA 6 :1-14Somo : KUKUWA NA ...
26/01/2025

Tarehe 26/01/2025

Orateur: Rév. Past. Boniface WATUTA

Usomi : 2 WAFALME 4 :1-7
YOHANA 6 :1-14

Somo : KUKUWA NA KITUO CHA
MAKIMBILIO

Mtu mwenye taabu (shida, magumu, matatizo,... ) ni sherti ajuwe wapi ataweza Kimbiliya kusudi apate majibu ao suluhisho ya shida zake.

Mwanamuke mujane ambaye aliachiwa madeni na mume wake [mumoja wa wana wa manabii] aliye kufa, alijuwa k**a Nabii Elisha anaweza kumusaidiya kwa kulipa île madeni akimuendeya.

Yesu Kristo wakati alikuwa akifundisha makutano ya maelfu ya watu, na ilipofika magaribu watu walichoka na kuona njaa. Alafu ilibidi wapate chakula.

Andrea, mumoja wa wanafunzi aligundua y'a kwamba ndani ya mukutano ya maelfu ya watu muna kijana mumoja anaye kuwa na samaki 2 na mikate 5, na kwa kuwa Yesu Kristo iko pamoja nao ni sherti wamuendeye huyu kijana.

Hata unawaza kuwa mtoto mudogo lakini una samaki 2 na mikate 5, utasaidiya mukutano ao taifa ya watu wengi haijalishi k**a ingekuwa na wakubwa ambo hawana kitu chochote cha kubaribi watu wanao kuja kwao wakiitaji kupata kitu kutoka kwa.

Kwa kufuata mafunuo makubwa kuhusu samaki 2 na mikate 5; fungua link hii hapa chini👇 na utabarikiwa zaidi.

https://www.facebook.com/100077350956292/videos/964340628539225/?app=fbl

Unaweza unga mukono kazi hii kwa njiya ya muchango ya pesa, kutuma sadaka ao kwa shauri ama musaada wa maombi kwa njiya zifuatazo:

📲:+243997716295 (Airtel money)
🏦: 5579 : COOPEC CAHI RDC
📩:[email protected]

Usisahau ku like, ku subscribe na ku share kwa wengine ili tubarikiwe sote pamoja.

Asante na Mungu akubariki.

Tarehe 29/12/2024  Orateur: Rév. WATUTA Boniface  Usomi: MATAYO 2: 9-12                                          1 SAMWE...
29/12/2024

Tarehe 29/12/2024
Orateur: Rév. WATUTA Boniface

Usomi: MATAYO 2: 9-12
1 SAMWELI 10: 21-24
YOHANA 15: 16
KUMBUKUMBU LA TORATI 7: 7
YONA 1: 1-7

Somo: ALIYECHAGULIWA AJUWE
YAKWAMBA ANA MADARAKA
(MAPASHWA)

Kwa kutaka kusikiya ibada hii kwa urefu, fungua link hii chini;👇 :
https://www.facebook.com/100077350956292/videos/619839480729887/?app=fbl

Piya uji subscribe kwa mitandao yetu, like na tumiya wengine ili nao wabarikiwe.

Unaweza piya ungana nasi kwa kuboresha na kuendelesha kazi ya Mungu kwa kutowa sadaka, changizo ama kwa kutaka musaada wa maombi ama mashauuri; wasiliana nasi kwa njiya zifuatazo:

📲: +243997716295 (Airtel money)
🏦: 5579 (COOPEC CAHI RDC)
📩: [email protected]

Asante na Mungu akubariki.

Tarehe 22/12/2024Préd.: Rev. WATUTA BonifaceUsomi: MIKA 5:2-4;              MWANZO 29:31-35;              MWANZO 30:1-24...
22/12/2024

Tarehe 22/12/2024

Préd.: Rev. WATUTA Boniface

Usomi: MIKA 5:2-4;
MWANZO 29:31-35;
MWANZO 30:1-24

Somo: KUONDOLEWA AIBU (ZARAHU)

Kwa kufuata mafundisho na ibada hii nzuri kwa urefu wake, funguwa link hii 👇hapa chini:

https://www.facebook.com/100077350956292/videos/443399412168901/

Piya usisahahu ku 👍, ku subscribe na kutumiya wengine ili nao wabarikiwe.

Kwa ajili ya kusapoti kazi hii ya Mungu kipesa, ki mawazo ama ukiitaji musaada wa maombi ao mazungumuzu; tumiya njia zifuatazo kwa kutupata:

📲:+243 997716295 (Airtel money)
🏦: 5579 (COOPEC CAHI RDC)
📩: [email protected]

Asante na Mungu akubariki

Ibada ya tarehe 24/11/2024Mod.: Ev. Ghislain KatashiOrateur: Past. Misege RogerUsomi: 2 WAFALME 5: 1-16           YOHANA...
24/11/2024

Ibada ya tarehe 24/11/2024

Mod.: Ev. Ghislain Katashi
Orateur: Past. Misege Roger

Usomi: 2 WAFALME 5: 1-16
YOHANA 20: 19
1 YOHANA 4: 16

Somo: KUFANYIKA BARAKA KWA WENGINE

Kusudi mtu awe baraka kwa wengine, inabidi atekeleze mambo matatu:
- Amani
- Upendo
- Ushuhuda nzuri.

Kwa kufuata ibada hii kwa urefu, funguwa link hii👇 hapa chini; piya u 👍 na usisahau kutumiya wengine ili nao wabarikiwe.

https://www.facebook.com/100077350956292/videos/891751829806519/?app=fbl

Kwa kuungana na kushiriki ibada hii kwa kutuma sadaka, muchango ao wazo ya kuendelesha kazi ya Mungu hapa; tumiya njiya zifuatazo:
📲: (+243) 997716295: Airtel money
🏦: 5579 (COOPEC CAHI RDC)
📧: [email protected]

Mungu akubariki

Ibada ya leo tarehe 17/11/2024Mod.: Ev. Raphaël Raphaël MulondaOrateur : Rév. WATUTA BonifaceUsomi: MATAYO 14: 22-33;   ...
17/11/2024

Ibada ya leo tarehe 17/11/2024

Mod.: Ev. Raphaël Raphaël Mulonda
Orateur : Rév. WATUTA Boniface

Usomi: MATAYO 14: 22-33;
WAEBRANIA 11: 6
MARKO 6: 53

Somo: KUONGEZEYANA MTAJI (CAPITAL)

Kitu kikubwa kinacho sababisha mtaji wa mtu kupanda ama kuongezeka ni Imani iliyo kuu kwa Mungu kupitiya watumishi wake ambao aliwachaguwa yeye mwenyewe (ISAYA 44: 26).
Kwa kufuta ibada hii kwa urefu, funguwa link👇 hii hapa, subscribe, penda na utumiye wengine tubarikiwe pamoja.

https://www.facebook.com/100077350956292/videos/8705947936169759/?app=fbl

Kwa kushiriki ibada kwa kutuma sadaka, changizo, mambo ao maoni mbalimbabi; tumiya njiya zifuatazo:
📱: (+243) 997716295 (Airtel money)
🏦: 5579 (COOPEC CAHI RDC)
📩: [email protected]

Mungu akubariki.

Ibada ya leo tarehe 10/11/2024Mod.: Frère Aaron BULAMBOOrateur: Pasteur Benoît MULUNGULAUsomi: KUTOKA 17: 8-16          ...
10/11/2024

Ibada ya leo tarehe 10/11/2024

Mod.: Frère Aaron BULAMBO
Orateur: Pasteur Benoît MULUNGULA

Usomi: KUTOKA 17: 8-16
1 SAMWELI 15: 32-35
ESTHER 7: 3-6
ESTHER 8: 8-14

Somo: UAMINIFU WA MUNGU KWA YALE ALIYO YASEMA

Kwa kufuata ibada hii kwa urefu wake, fungua link hii 👇 na usisahau ku 👍 , ku suscribe na kutumiya wengine iliwabarikiwe.

https://www.facebook.com/share/v/1ARurjEptW/?mibextid=WC7FNe

Unaweza ungana nasi katika ibada hii kwa kutuma sadaka, changizo ao michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya kazi ya Mungu, ama kwa maoni mbalimbali; tumiya njiya zifuatazo:

📲: (+243) 997716295 {Airtel money }
🏦: 5579 {COOPEC CAHI RDC}
📩: [email protected]

Mungu akubariki.

Ibada ya tarehe 13/10/2024Mod.: Ev. Oscar LUNANGA Orateur : Past. KIKUMBA FaustinUsomi: UFUNUO 3: 14-19Somo: UVUGUVUGUUv...
13/10/2024

Ibada ya tarehe 13/10/2024

Mod.: Ev. Oscar LUNANGA
Orateur : Past. KIKUMBA Faustin

Usomi: UFUNUO 3: 14-19

Somo: UVUGUVUGU

Uvuguvugu ni hali ya maji isiyo joto wala baridi.
Hali hii inasababishwa na kuchanganya maji ya joto pamoja na maji ya baridi; na ile inafanya kupoteza hali ao utaratibu wake wa kwanza.

Kwa kufuata mafundisho hii kwa urefu, fungua linky👇 hii hapa chini na utabarikiwa:

https://www.facebook.com/share/v/85Lagcw8wX3DCTbk/?

Kwa kuungana nasi kwa kutuma sadaka ao michango mbalimbali, ama kutaka kupokeya shauri na maombezi; tumiya njiya hizi zifuatazo:

📲: +243 997 716 295 (Airtel money)
🏦: 5579 (COOPEC CAHI RDC)
📩: [email protected]

Fuata, penda na utumiye wengine ilitubatikiwe pamoja na Mungu akubariki.

03/10/2024

Mention spéciale à mes nouveaux(elles) super fans ! Kubota Masumbuko, Philemon Ushindi Kabungulu

Adresse

Route Elakat N° 67
Bukavu
B.P.266BUKAVU

Téléphone

+243991034972

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque 8ème CEPAC Golgotha Ndendere TV publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter Le Lieu De Culte

Envoyer un message à 8ème CEPAC Golgotha Ndendere TV:

Partager