Hoziana Ministries au Congo-Kinshasa, CHMC

Hoziana Ministries au Congo-Kinshasa, CHMC KISIMA CHA BETHSAIDA
Kisima cha maji yenye baraka tele

28/05/2026
28/05/2026

Jinsi watumishi wanavhofungwa na shetani,

Waimbaji kwenye mkutano wa Pentecôte pa Sebele Mai 2026

11/01/2026

[17]Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
[18]michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;
[19]kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
Kosa la mtu mmoja huaribu:
Huduma,
Familia,
Urafiki,
Biashara, na
Kanisa kwa jumla.
Mhubiri 9:18
[18]Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita; Lakini mkosaji mmoja huharibu mema mengi.
Chap. 3 HITIMISHO
Pindi unapojua ya kwamba u tatizo kwa jambo fulani usijifiche, tubu utengeneze maisha yako Yesu anakuja k**a mwizi, akukute uko safi, siku ya Bwana iko na iko siku ambapo wewe na mimi atutapata tena na fasi ya kutubu, mda ni huu,
Wewe binafsi unajitambua, jitokeze Yesu akuita.
Hauwezi kukimbia hukumu ya Mungu, tusome
Andiko :
Yona 1:1-2;12
[1]Basi neno la BWANA lilimjia Yona, mwana wa Amitai, kusema, [2]Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
[12]Naye akawaambia, Nik**ateni, mnitupe baharini; basi bahari itatulia; kwa maana najua ya kuwa ni kwa ajili yangu tufani hii imewapata.
---------------------
Mungu atubariki, Amen

Adresse

Mwemezi
Baraka

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Hoziana Ministries au Congo-Kinshasa, CHMC publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter Le Lieu De Culte

Envoyer un message à Hoziana Ministries au Congo-Kinshasa, CHMC:

Raccourcis

Partager