31/03/2022
Yesu kristo simba wa kabila ya yuda yuko kwa maisha yetu
Akinguruma mbweha,shida,njaa,uchi, umasikini bunakimbiya bote kwasababu wamekuta simba
Na maadui wako watakapo kuja kukuangamiza watakuja kwanjia moja watukuta simba wakabila ya yuda akikuchunga wasambazwa kwa njiya saba